Umlinganishe na yule wa Ivory Coast sasa.Janabi leo anakuwa wa Mwisho.Nipo hapa.
Toka hapa nani apende li nchi la utekaji hili. Janabi hatoboi leo.Pamoja na yote WATANZANIA tuna udhaifu mkubwa sana wakutopenda vya kwetu
Hata mtu akifanya vizuri huko Ulaya badala ya watu wajuvunie sisi tunatafuta vya kumkosoa
Toa ujinga hapa,mimi binafsi nilisimama na Faustine Ndugulile. Huyu Janabi hana uwezo ni kilaza wa public health. Anaangukia pua leo kama Raila Odinga AU.Pamoja na yote WATANZANIA tuna udhaifu mkubwa sana wakutopenda vya kwetu
Hata mtu akifanya vizuri huko Ulaya badala ya watu wajuvunie sisi tunatafuta vya kumkosoa
Wenzetu wanajivunia watu wao wanao watoa kimasomaso kama Icon ya Nchi sisi kutwa kucha kuwachafua!
Ukitakua kahakikisha hilo; Mtafute Mbwana Samata; Hasheem Thabit nk mtu anaogopa hata kusema ametoka Tz kwa sababu ya upuuzi wa comment kutoka TZ
Haya yote tumefikishwa na Maccm yenyewe yanajiona ndiyo yenye nchi mtu akiwa chama kingine anaonekana kama si mtanzania. Tunawachukia wanaccm kwasababu wanatuua sana tunapowakosoaPamoja na yote WATANZANIA tuna udhaifu mkubwa sana wakutopenda vya kwetu
Hata mtu akifanya vizuri huko Ulaya badala ya watu wajuvunie sisi tunatafuta vya kumkosoa
Wenzetu wanajivunia watu wao wanao watoa kimasomaso kama Icon ya Nchi sisi kutwa kucha kuwachafua!
Ukitakua kahakikisha hilo; Mtafute Mbwana Samata; Hasheem Thabit nk mtu anaogopa hata kusema ametoka Tz kwa sababu ya upuuzi wa comment kutoka TZ
Tungetamani sote iwe hivyo ila napata nashaka kwa hali ilivyo ya kisia mungu awateteeTunamwomba Mungu APITE.
Wewe kama Nani?Toa ujinga hapa,mimi binafsi nilisimama na Faustine Ndugulile. Huyu Janabi hana uwezo ni kilaza wa public health. Anaangukia pua leo kama Raila Odinga AU.
Pamoja na yote WATANZANIA tuna udhaifu mkubwa sana wakutopenda vya kwetu
Hata mtu akifanya vizuri huko Ulaya badala ya watu wajuvunie sisi tunatafuta vya kumkosoa
Wenzetu wanajivunia watu wao wanao watoa kimasomaso kama Icon ya Nchi sisi kutwa kucha kuwachafua!
Ukitakua kahakikisha hilo; Mtafute Mbwana Samata; Hasheem Thabit nk mtu anaogopa hata kusema ametoka Tz kwa sababu ya upuuzi wa comment kutoka TZ
Prof Janabi angekuwa kutoka south Africa, kenya, Nigeria, ungeona comment kama
1. With all your expertise, we cant think of anyone who deserves this position more!
2. You have worked so hard and it will pay you!
3. We are thrilled for you!
4. This is well deserved!
5. We are so proud of you!
Ukisema umetokea Tanzania tegemea comment kama
1. Huyu mweupe kabisa
2. Ameenda kuuza sura
3. Ametuabisha
4. Kituko nk nk
Nafikiri bado tupo karne ya 17 wakati ulimwengu unaelekea karne ya 22
anatoka wapi? nchi ambayo ina udikiteita wa kiwango cha juu.
The second special session of the WHO Regional Committee for Africa will be held in a virtual format on 18 May 2025 under Special procedures for the conduct of the virtual special session of the Regional Committee for Africa. The working hours will be 09:00 – 18:00 CEST (Geneva time).
The second special session will convene in private meetings open to Member States of the Region only. The interviews of the nominated candidates and the meeting announcing the nominee will be broadcast on the Regional Office‘s website.

Matokeo saa ngapi?
Hapati hata kura moja hivi huo uchaguzi ni lini kwanza?Huyo Prof ashindwe tu aingie kwenye siasa maana ndio anachoweza.
W.H.O sio CCM
Rs Berkane 2 - Madunduka 0Woyooo ushindi wa kishindo. Ushindi wa Chama, ushindi wa ilani
Janabi ni mgonjwa
The second special session of the WHO Regional Committee for Africa will be held in a virtual format on 18 May 2025 under Special procedures for the conduct of the virtual special session of the Regional Committee for Africa. The working hours will be 09:00 – 18:00 CEST (Geneva time).
The second special session will convene in private meetings open to Member States of the Region only. The interviews of the nominated candidates and the meeting announcing the nominee will be broadcast on the Regional Office‘s website.
Ushindi wa mamaWoyooo ushindi wa kishindo. Ushindi wa Chama, ushindi wa ilani
Hapati hata kura moja hivi huo uchaguzi ni lini kwanza?
Asante