Toa ujinga hapa,mimi binafsi nilisimama na Faustine Ndugulile. Huyu Janabi hana uwezo ni kilaza wa public health. Anaangukia pua leo kama Raila Odinga AU.
Jinyonge .Hapati hata kura moja hivi huo uchaguzi ni lini kwanza?
Chukua kamba ujinyonge.Kujifanya unajua Public health kuliko wajumbe.Inashangaza kapuku kujaribu kumkosoa Profesa.Toa ujinga hapa,mimi binafsi nilisimama na Faustine Ndugulile. Huyu Janabi hana uwezo ni kilaza wa public health. Anaangukia pua leo kama Raila Odinga AU.
Kujifanya ujuaji kwenye mambo usiokuwa na utaalamu nao na kujigeuza mtabiri.Kashinda sasa jinyonge.All the best Prof....lakini kwa ujibuji huo wa maswali umeondoa trust ya members ambao walikushangilia ulivyomaliza kujinadi.
South Africa ameuliza : Does the country have to be rich to implement universal health care???
You have not answered the question Prof....or may be you hv not understood it.
Wasibadili mawazo tu.
Kanunue kamba.Ujuaji mwingi kumbe pumba tupu.Wauzaji wa Bar leo mkisikia Proj Janabi ametoswa huko WHO msifunge Bar hakikisheni Bar zipo wazi!.
Huu ndo ushauri Kama mnakumbuka jamaa yule alipotoweka mlivyo piga hela mkesha wa 17-2021
Ulikuwa unasema?.Mmekalia majungu na roho mbaya.Huyo Prof ashindwe tu aingie kwenye siasa maana ndio anachoweza.
W.H.O sio CCM
Mpambe,mteja wako ni zero brain kulinganisha na wale wagombea wenzake watatu.Chukua kamba ujinyonge.Kujifanya unajua Public health kuliko wajumbe.Inashangaza kapuku kujaribu kumkosoa Profesa.
Wamehonga wajumbe kura za huruma.Ameshinda sasa kama nilivyo sema kunapoint ameongea za kugusa watu....
Rudi hapa ukafute UJINGA WAKO!!!
Hili halina ubishi...hata shule tu wale wagombea wenzake wapo vizuri!Mpambe,mteja wako ni zero brain kulinganisha na wale wagombea wenzake watatu.
Wewe ndo umeongea point.Hili halina ubishi...hata shule tu wale wagombea wenzake wapo vizuri!
Ukipanga list Janabi wa mwisho no doubt...
Ni mambo ya ujanja ujanja!
NIRUDIE TENAHili halina ubishi...hata shule tu wale wagombea wenzake wapo vizuri!
Ukipanga list Janabi wa mwisho no doubt...
Ni mambo ya ujanja ujanja!
''Kuzaliwa masikini sio kosa lako ni kosa la wazazi wako ila wewe kufa masikini ni uzembe wako''..............Bill gateInasaidia nini Mimi ambaye Mtoto wangu anakaa chini hapa mbagala!!
Nijinyonge kwa lipi! Utalaam wa nini? Wa kutokuwa kujieleza. Sikuwa na tatizo na kushinda au kushindwa kwa Prof ndiyo maana niliandika best wishes. Labda kama wewe ni mwanae kazaa lijinga lisilojua kusoma au kuelewa.Kujifanya ujuaji kwenye mambo usiokuwa na utaalamu nao na kujigeuza mtabiri.Kashinda sasa jinyonge.
Yaani wewe kapuku ujue Profesa kashindwa kujibu swali?Ashindwe kujibu swali halafu ashinde?Nijinyonge kwa lipi! Utalaam wa nini? Wa kutokuwa kujieleza. Sikuwa na tatizo na kushinda au kushindwa kwa Prof ndiyo maana niliandika best wishes. Labda kama wewe ni mwanae kazaa lijinga lisilojua kusoma au kuelewa.
Unaonyesha ulivyompumbavu.
Wapi nilionyesha sikutaka Prof ashinde! Nilichoandika hakuweza kujibu swali na ushindi wake hauondoi maana ya yeye kushindwa kujibu swali.
Acha ujuaji.
Ulikuwa unasema?.Mmekalia majungu na roho mbaya.
Kushinda kwa Prof hakumaanishi alijibu swali vizuri.Yaani wewe kapuku ujue Profesa kashindwa kujibu swali?Ashindwe kujibu swali halafu ashinde?
Leta matokeo sasa. Si kura zimeishapigwa!? Ahahahahaha!!Wewe ndo umeongea point.
Suala lilikuwa kushinda au kushindwa kwenye kuongoza WHO AFRICA. Prof. Janabi ndio kashinda. Now, what's your point there?Kushinda kwa Prof hakumaanishi alijibu swali vizuri.
Nani aliyekuambia Prof anaakili kuliko wasio maprofs?
Nikutoe ujinga: Prof aliamua kuendelea kusoma tu mkuu tu ndiyo maana anaitwa Prof. Mfano mdogo wewe unaweza kuwa na elimu labda kadegree kamoja au viwili ila ninawajua darasa la saba kibao wenye reasoning kukuzidi.
Toa ujinga wa kufikiri kwamba Janabi kisa kashinda basi alijibu maswali vizuri. Hakujibu na kusema hakujibu ni uhalisia na sibatilishi wala kuonea donge ushindi wake. I'm even happy maana hakuna sehemu niliandika sitaki ashinde.
Swala: hakujibu au hakuelewa swali aliloulizwa na hajui kujieleza. Wewe kwa ujinga wako unashindwa kutofautisha hivi viwili.