Kikatiba Rais Samia yuko sahihi kumteua Naibu Waziri Mkuu

Hakika...

Umemaliza [emoji106][emoji2956]
 
Aaaah, ingekuwa nchi zinazofata, sheria kama, za, ulaya, na US, ingekuwa sawa,
Usijzime data, CCM hawafati sheria yoyote wala uta wala wa sheria, sheria zipo lakini wanafata kile kinacholinda maslahi ya chama Chao, na majizi.
Mfano, mpaka Leo sheria, inawataka kutangaza matokeo ya uraisi kwenye gazeti,tangu uchaguzi wa 2020,hawajaweka matokeo ya uraisi kwenye gazeti.
Kumteua Biteko kuwa naibu PM, ni njia ya kuwapumbaza wasukuma, amabao ni Block kubwa Sana kwenye uchaguzi.
Kwa kipindi kifupi kumekuwa kuna hisia kwamba samia anauza rasilimali za, wana nchi ambazo JPM(msukuma), alitumia nguvu nyingi kuzilinda, na, kuepuka kuingia mikataba ya hovyo,
chadema wakiwa kanda ya ziwa, wamesaidia kuwaeleza wana nchi madudu ya samia na CCM yake, na, kujenga picha kuwa JPM, alijaribu kulinda wanyonge, lakini, samia anaumiza wanyonge, anahamisha, wa Masai kwa nguvu na ardhi Yao anawapa waarabu, ameuza bandari, hili, linamtisha Sana Samia, umaarufu wake ndani, ya kanda ya, ziwa umepungua.
Sasa anajaribu kuwavutia wasukuma kwa kuteua mtoto wao kama naibu waziri mkuu.! Upuuzi tu
 
Afrika ya kusini limewashinda hilo...

Burundi yalishuhudiwa ya Pierre Nkurunzinza na mwenyekiti wake wa CNDDFDD Hussein Rajabu....

Wanasiasa ni rahisi kutafutiana sababu za kunyooshana kwa kutumia hizo "ibara" moto....

Nchi hazitotawalika zaidi ya fitina na mitego ya minyukano ya kisiasa....

#Never Give Wisdom To Unworthy As It Is Unjust To The Knowledgeable [emoji120]
 
Sawa Haina shida
 
Mzee Warioba aliwahi pia kuwa Naibu Waziri Mkuu kabla ya kuwa Waziri Mkuu kamili.
Pumbafu kabisa. Mbona mnaandika uongo? Hiki cheo ni hayati Augustine Mrema pekee aliyewahi kukishika na aliteuliwa na Mwinyi. Tangu zamani watu walisema ni ukikwaukwaji wa katiba kwani hakipo. Tusibiri kusikia kutoka kwa wanasheria makini nadhani watatoa maelezo.
 
Kuna masharti yapi yaliyowekwa katika utekelezaji wa mamlaka yake hayo? Kama hana ukomo, je, anaweza anzisha mfano cheo cha Makamu wa Pili wa Rais/naibu makamu wa Rais?
 
Upo vizuri.
Salimu Ahmed Salim aliwahi kushika wadhifa huo enza za Waziri Mkuu Joseph Sinde Warioba
 
Upo vizuri.
Salimu Ahmed Salim aliwahi kushika wadhifa huo enza za Waziri Mkuu Joseph Sinde Warioba
Jamani jamani mbona watu ni waongo hivi? Unabuni kutoka kichwani na kuandika kama ni tukio la ukweli? Salim alishika lini huu wadhifa? Ni Mrema pekee aliyewahi kushika.
 
Nafasi yoyote anayoianzisha au kuifuta, kipi kinaanza? Kutangaza uanzishwaji wa nafasi kabla ya uteuzi, au kufutwa kwa nafasi kabla ya utenguzi?

Maana hapa naona uteuzi na uanzishwaji wa nafasi vimetokea kwa wakati mmoja
 
Kuna kina dalili za uchaguzi wa 2025 kuwa mgumu sana kwa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…