Kikawaida wanaohonga Wanawake ni wanaume dhaifu na Maskini

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
KIKAWAIDA WANAOHONGA WANAWAKE NI WANAUME DHAIFU NA MASKINI.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Moja ya dalili zinazomtambulisha Mwanaume dhaifu ni kuhonga wanawake. Hata siku Moja huwezi kuta mwanaume Kamili anayejiamini na Alpha Male akahonga Wanawake.
Wanaume dhaifu ni rahisi kuwa Manipulated na wanawake. Wanaume dhaifu ni watu huendeshwa na Mihemko kuliko AKILI.

Wanaume dhaifu ndio Miaka yote hulalamika kuwa Wanawake wanapenda pesa kwa sababu wao ndio huwapa attention hao wanawake. Huwaendekeza na hiyo inawapa nafasi wanawake kuonyesha thamani Yao kwa hao wanaume dhaifu.

Haijawahi kutokea Alpha Male akalizwa au kutapeliwa na mwanamke kwa Sababu wao hawatoi pesa au Mali Zao kindezindezi. Alpha male hawawekezi kwa Wanawake ila wanawake ndio wanawekeza kwaajili ya alpha Male.

Wanaume dhaifu unaweza ukakuta amemhonga mwanamke Mtungi wa gesi wakati nyumbani kwao Wazazi wanatumia Jiko la Kuni au mkaa . Na huyo mwanaume akajiona yupo Sawa kabisa kichwani.

Mwanaume dhaifu anaweza kumsomesha mwanamke au kumlipia Ada lakini wadogo zake wanafukuzwa Ada. Mwenyewe atakupa visingizio kibao ili asisaidie ndugu zake.
Wanaume wengi wanaohonga wengi wanatabia hizo.

Mwanaume dhaifu anaweza akamtunza mtoto asiyewake alafu akaacha kutunza damu yake Kabisa.

Wanaume dhaifu ni wale ambao wanawekeza kwa Wanawake.

Wanaume dhaifu hulazimisha Mwanamke abaki kwenye maisha yao. Kwa sababu wao ndio hujivunia hao wanawake badala wanawake hao ndio wajivunie kuwa na Mwanaume.

Alpha Male hawezi kufanya huo ujinga. Kwani yeye ndio anajua mwanamke anakuwa proudly kumpata yeye na sio mwanaume kuwa proudly kuwa na mwanamke Fulani.
Alpha Male haogopi na Wala habembelezi mwanamke akitaka kumuacha.

Wanaume dhaifu hutafuta pesa ili kuwapata wanawake na ndio maana wengi wao hujikuta kwenye mateso na utumwa kwa Wanawake.
Wakati wanaume wanaojiamini na Alpha Male wao hutafuta pesa kwaajili yao wenyewe na hujali malengo Yao tuu.

Wanaume dhaifu mostly hufilisika na kubaki kuwa Maskini Kwa sababu ya kuwaendekeza Wanawake kwa kuwahonga.

Wazazi Makini wenye watoto wakiume lazima wawafundishe vijana wao kuwa wanamaadui watatu Wakuu;
1. Wanawake
2. Vilevi (kupitiliza)
3. Kamari.

Na lazima wawafundishe namna ya kukabiliana navyo.
Alpha Male wanajua wanawake ni viumbe wa aina gani. Lakini wanaume dhaifu hawajui wanawake ni viumbe wa aina gani.

Zingatia, Mwanaume Kamili anaihudumia familia yake, mkewe (mwanamke uliyemuoa au unayeishi naye). Nje ya hapo hauko responsible.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
 
Hii ni mojawapo ya sababu za kuibuka kwa janga la Utapeli katika Ndoa.
Ndoa zinakuwa hazidumu kwa sababu ndoa zenyewe zilitokana na influence ya Maslahi binafsi ya kiuchumi wala siyo kutokana na upendo wa dhati kutoka moyoni (natural love and affection) miongoni mwa Wanandoa.
 
Hii ni mojawapo ya sababu za kuibuka kwa janga la Utapeli katika Ndoa.
Ndoa zinakuwa hazidumu kwa sababu ndoa zenyewe zilitokana na influence ya Maslahi binafsi ya kiuchumi wala siyo kutokana na upendo wa dhati (natural love and affection) miongoni mwa Wanandoa.

Ndoa nyingi wanaume wamejikuta wakiwa Misukule na ushahidi upo
 
Wanaume dhaifu wapokee hizo Pole.

Kama Diamond hahongi,
Na wapo matajiri kibao hawahongi alafu kuna kakijana Maskini hata kwao hakabadilisha maisha ya kwao kanahonga kwa nini kasipokee pole yako
Sasa mkuu wanaojua kuwa fulani haongi si wanaotumika nae?

Anyway hata hivyo kuhonga with nothing in return ni kutapeliwa.
 
Huenda tunatofautiana, Wanaume hatuhongi ila kuhudumia.

Mpenzi wako lazima umuhudumue ili apendeze

Kama hana visofa pale sebuleni kwake, basi kabla hajakuomba unatuma kirikuu kinampelekea

Hivi huoni Kuna raha ya kuhamisha pambano kutoka kitandani kuelekea Kwenye Sofa 😜

Bila kuhudumia, unapenda nani mwingine wa kumuhudumia?

Wazee wenu ndiyo tumezeeka hivyo 🤗
 
Mke wako huwezi kumhonga.
 
Hii ni mojawapo ya sababu za kuibuka kwa janga la Utapeli katika Ndoa.
Ndoa zinakuwa hazidumu kwa sababu ndoa zenyewe zilitokana na influence ya Maslahi binafsi ya kiuchumi wala siyo kutokana na upendo wa dhati (natural love and affection) miongoni mwa Wanandoa.
Hata zamani kulikuwa na influence ya maslahi ndo maana kabla ya kuozesha wazazi walikuwa lazima wajihakikiahie kama mkwe anauwezo wa kufanya kazi Kwa bidii na nguvu za kutosha
 
100% Fact. Kuna jamaa kaoa mnyakyusa huyo mnyaktusa baba ake ni mtu wa kyela na mama ake ni mtu wa Tukuyu basi unaambiwa jamaa kajenga Tukuyu na Kyela ( kwa baba mkwe na kwa mama mkwe)

Mama ake mzazi anaishi kwenye banda
 
Back
Top Bottom