Kikawaida wanaohonga Wanawake ni wanaume dhaifu na Maskini

Wanaume wengi wanatumia Hela vibaya wanatapanya kwa malaya kisha baada ya muda wanafulia na Kuala za kusumbua watoto na wapwa zao wawape hela.
Ni huzuni kwa kweli
 
Fikiria Elon Mask hana muda na mwanamke alomtegeshea mimba na kuzaa nae , wewe ni nani wa kujipendekeza kwa wanawake wąsiki wa na shukrani ??!
 
Kwahiyo USENGE-Nyaji ni Sawa na kuua🙌🤣
 
Wanaume dhaifu wapokee hizo Pole.

Kama Diamond hahongi,
Na wapo matajiri kibao hawahongi alafu kuna kakijana Maskini hata kwao hakabadilisha maisha ya kwao kanahonga kwa nini kasipokee pole yako
Nani kasema diamond haongi ,thubutu
Hata huyo dada Alikuwa anamlipia Kila kitu na kumuweka ndani labda tu kashamchika ndo maana kaacha kuhonga
 
100% Fact. Kuna jamaa kaoa mnyakyusa huyo mnyaktusa baba ake ni mtu wa kyela na mama ake ni mtu wa Tukuyu basi unaambiwa jamaa kajenga Tukuyu na Kyela ( kwa baba mkwe na kwa mama mkwe)

Mama ake mzazi anaishi kwenye banda
Huyo SS amerogwa mpumbavu kabisa
 
Point sanaa mkuu kiufupi aje na hoja nyingine yenye mashike maan usipohudumia kitakachomtokea ni historia so kumhudumia mwanamke kunapunguza mwanamke kuwa omba omba ile mbaya
 
Hapo ndipo shida inapoanzia yaan unaona kabisa demu wako ana upungufu wa nguo za ndani unavunga aibu kubwa sanaa
 
Ni kweli ila sio kwa kizazi hichi mkuu mambo yamebadilika
 
Na asilimia kubwa ya wanaume ni wahongaji
Kila mwanamme mwenye sifa ya kuitwa mwanamme anahonga. Hongo ni chambo cha kumvutia na kuuteka moyo wa mwanamke unayempenda/mtaka. Tunatofautiana tu kwenye viwango. Elitira kumpata yule mdada, rika na watoto, wake haikuwa hivi hivi. Kadhalika Lyatonga. Kuna wanaohonga chibuku, ndio uwezo wao. Hata jogoo humrubuni mtetea kwa kumuitia chakula. Mtetea akiingia box, mengine yanaendele
 
Umeongea point mkuu, inaniwia ngumu sana kuona mwanamme mwenzangu anahonga hela ama zawadi mwanamke tena changudoa tu asiye na hili wala lile. Unampa changudoa hela ya kazi gani, kwanini usimpe mama yako hiyo hela au kusomesha ndugu zako?
 
Tuendelee kutafuta pesa.
Wanaume hutoa kama zawadi tu kwa kuhudumiwa.

Pesa isipoliwa na mwanamke inaliwa na nani? Inaliwa na mwanaume mwenzie? Ikiwepo mpe isipokuwepo chuna na usimfuatilie. Kila mtu aamue atazitumiaje pesa alizozitafuta kwa jasho lake.
 
Kweli kabisa mkuu, hawa wanaume wa namna hii inabidi wakamatwe tu na kunyongwa maana wanatudharirisha sana wanaume tunaojitambu akili.
 
Hapo ndipo shida inapoanzia yaan unaona kabisa demu wako ana upungufu wa nguo za ndani unavunga aibu kubwa sanaa
Ndiyo tatizo la Vijana wengi, hawajui suala la hygiene ni muhimu kiasi gani katika kunogesha penzi.

Imagine mchumba ako ana chupi mbili tu, na wewe Mwanaume upo tu kushuhudia hayo bila kuchukua hatua ya kumnunulia dazeni ya chupi
 
Ndiyo tatizo la Vijana wengi, hawajui suala la hygiene ni muhimu kiasi gani katika kunogesha penzi.

Imagine mchumba ako ana chupi mbili tu, na wewe Mwanaume upo tu kushuhudia hayo bila kuchukua hatua ya kumnunulia dazeni ya chupi
kizazi kinaangamia ,hawana maarifa na hawajui uzuri wa kusex na mwanamke msafi ,inabidi uje utoe elimu kidogo kwa vijana wa kizazi hiki sijui GenZ sijui nini😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…