Siyo kwamba utapewa kila mwezi. Wanakupatia kila baada ya miezi 6 baada ya kuzungushwa huku ukiwa na kisukari kikali na homa kali. Ukichukua miaka 2 tu tayari unaenda kaburiniHuu ndio upuuzi wenyewe. Ulipwe 33% alafu nyingine ulipwe kwa mwezi. Sasa kama mtu una uwekezaji wako unategemea pesa ya uhakika ndio umefeli , serikali iache kufanya raia wategemezi.
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Hao viongozi wa vyama vya wafanyakazi wajihusisha wenyewe,hawajachukua maoni ya wanachama waoLkn wanasema vyama vya wafanyakazi vimehusika kwenye mashauriano..!
🤣🤣🤣🤣Siyo kwamba utapewa kila mwezi. Wanakupatia kila baada ya miezi 6 baada ya kuzungushwa huku ukiwa na kisukari kikali na homa kali. Ukichukua miaka 2 tu tayari unaenda kaburini
Ndilo lengo Lao, wengi hawatachukua hata hiyo 33% ya pili na watakufa kabla!Siyo kwamba utapewa kila mwezi. Wanakupatia kila baada ya miezi 6 baada ya kuzungushwa huku ukiwa na kisukari kikali na homa kali. Ukichukua miaka 2 tu tayari unaenda kaburini
Uko sahihi!Lakini wabunge wakimaliza miaka mitano wanapewa 200m yote...ila uliesota miaka 60 kuitumikia serikali unakula 33% kwa style hii hakuwezi kua na uwajibikaji serikalini hata siku moja
Hapa tz mambo ni shaghala baghalaSiyo kwamba utapewa kila mwezi. Wanakupatia kila baada ya miezi 6 baada ya kuzungushwa huku ukiwa na kisukari kikali na homa kali. Ukichukua miaka 2 tu tayari unaenda kaburini
UnazikwaUkifa utaratibu ukoje?