Kikokotoo(Mafao): Rais Samia anastahili pongezi kwa hili

Kikokotoo(Mafao): Rais Samia anastahili pongezi kwa hili

Jana, statement toka Ikulu ilieleza kuwa Rais Samia amepokea mapendekezo ya kanuni mpya ya mafao ya Pensheni, kama ilivyoombwa na chama cha wafanyakazi Tanzania (TUCTA) siku ya sherehe za wafanyakazi (Mei Mosi, 2022), ambapo sasa amekubali ombi la kupandisha malipo ya mafao, kutoka 25% iliyokataliwa na wadau hadi 33.3%.

Wadau uchwara, wafanyakazi wanataka malipo ya mafao ya mkupuo kwa 50%
 
Back
Top Bottom