Naongezea maswali: sio kwamba asilimia 33.3 mkupuo, halafu asilimia 66.6 unagawa kwa miaka 12.5 ndipo unapata ya kila mwezi? Au ndio kuna formula ya kubakiza kwao?... hivi pensheni ya kila mwezi ni % ngapi ya mshahara mtumishi aliostaafia wakuu? Au kuna fomula tofauti? Kama ipo, naomba kuijua ndugu zanguni.
Mambo ya 2025 sio mchezo!!Pensheni ya Kila Mwezi nayo kaongeza kwa Asilimia 17 Hongera sana Mama
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
... na je, baada ya hiyo miaka 12.5 kama mstaafu angali hai fungu lake linakuwa limeisha halipwi tena? Kama ataendelea kulipwa, why 12.5 years? Sio kuchuriana huku?Naongezea maswali: sio kwamba asilimia 33.3 mkupuo, halafu asilimia 66.6 unagawa kwa miaka 12.5 ndipo unapata ya kila mwezi? Au ndio kuna formula ya kubakiza kwao?
Vyama vya wafanyakazi ndio nyoka kabisa. Sasa chama kama CWT kitamsaidia nini mwalimu kwenye mafao yake ilhali chama chenyewe ni chawaLkn wanasema vyama vya wafanyakazi vimehusika kwenye mashauriano..!
[emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]inauma sana. Mtu apewe mzigo wake apange mikakati yake ya maisha.Siyo kwamba utapewa kila mwezi. Wanakupatia kila baada ya miezi 6 baada ya kuzungushwa huku ukiwa na kisukari kikali na homa kali. Ukichukua miaka 2 tu tayari unaenda kaburini
Waambie wabunge na wao wachuku 33% alafu zinazobaki wapewe kwa mwezi uone hiyo vita itatokeaHuu ndio upuuzi ambao wanasiasa wanasababisha kwenye hii nchi. Kuweka matabaka kwenye jamii.
Wao ( Mbunge, Mkuu wa mkoa na bosi ) wao haiwahusu ila wafanyakazi ambao ni tabaka linalotawaliwa.
Ni wazi sasa hakuna wa kuwasemea wasio na sauti. Shame on you politicians!
Hao ulowataja sio waajiriwa wa kudumuHuu ndio upuuzi ambao wanasiasa wanasababisha kwenye hii nchi. Kuweka matabaka kwenye jamii.
Wao ( Mbunge, Mkuu wa mkoa na bosi ) wao haiwahusu ila wafanyakazi ambao ni tabaka linalotawaliwa.
Ni wazi sasa hakuna wa kuwasemea wasio na sauti. Shame on you politicians!
Vyama vya wafanyakazi hakuna kitu....Lakini je ni nani wa kuwatetea wavuja jasho wa nchi hii? Jibu ni hakuna wa kuwatetea zaidi ya wafanyakazi wenyewe kuamua kujitetea. Ni hili lianzie la kuweka watu wenye kujali matatizo yao kwenye uongozi wa vyama vya wafanyakazi kuanzia ngazi za chini kabisa mpaka ngazi ya taifa..
Pole sana kwa chukiNaichukia hii serikali , Mungu atende tena achukue na huyu
Mbunge, na wateuliwa wote kazi zao si za kudumuHuyu akimaliza miaka mitano anakusanya jasho lake lote na nyongeza juuu...
View attachment 2240046
Huyu baada ya miaka 60 akistaafu anapewa 33/% na zingine atapewa kidogo kidogo....
View attachment 2240048
Kwa sababu ndio imepelekea kuwa na maslahi tofauti....??Mbunge, na wateuliwa wote kazi zao si za kudumu
Pongezi kubwa kwa mama kazi yake inaonekanaJana, statement toka Ikulu ilieleza kuwa Rais Samia amepokea mapendekezo ya kanuni mpya ya mafao ya Pensheni, kama ilivyoombwa na chama cha wafanyakazi Tanzania (TUCTA) siku ya sherehe za wafanyakazi (Mei Mosi, 2022), ambapo sasa amekubali ombi la kupandisha malipo ya mafao, kutoka 25% iliyokataliwa na wadau hadi 33.3%.
Ametaka TUCTA, wizara ya fedha na Chama cha Waajiri (ATE), kuendelea kushirikiana ili kukamilisha taratibu za malipo ya mkupuo huo wa asilimia 33.3% badala ya 25% iliyokataliwa mwaka 2018.
Kanuni za Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ya Mwaka 2018, ziliweka kikokotoo kimoja cha asilimia 25 ambacho kiliweka usawa kwa wastaafu wote kupata mafao yenye fomula moja, tofauti na awali kulipokuwa na fomula mbili.
Kikokotoo kipya kwenye kanuni kilikuwa ni asilimia 25 kwa mafao ya mkupuo na asilimia 75 inayobaki kulipwa kama pensheni ya mwezi kwa kila mwezi hadi mwanachama atakapofariki dunia.
Hata hivyo, katika kikokotoo hicho, umri wa kuishi ulikadiriwa kuwa ni miaka 12.5, ikiwa ni umri uliokadiriwa kuwa mwanachama ataishi baada ya kustaafu.
Kwa mujibu wa kikokotoo cha NSSF ambacho kimekuwapo kwenye kanuni za shirika hilo tangu mwaka 2014, mwanachama anapostaafu analipwa asilimia 25 ya mafao ya mkupuo na kilichobaki kinalipwa kama mshahara wa kila mwezi.
Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ya Mwaka 2018, imetaja jumla ya mafao saba ambayo ni manne ya muda mfupi (fao la upotevu wa ajira, fao la ugonjwa, fao la uzazi na mkopo wa nyumba) na matatu ya muda mrefu ambayo ni pensheni ya uzeeni, fao la ulemavu na fao la warithi.
Kwa hili, niseme Rais Samia na serikali yake wanastahili pongezi.
Kila mtu ana mema yake na mabaya yake ila jambo hili la kupangiana pensheni uileje aloo linawatesa sana wafanyakazi toka wakiwa makaziniDah, 'mwamba' amejua kutuachia mateso......
Jamaa zangu fulani hivi kimyaaa hapa, ila mama akipokea tuzo na kuzindua miradi utawasikia, 'r.i.p jpm!'
Baada ya serikali kusitisha tangazo la kikokotoo mwaka 2018 sasa wamekuja na kikokotoo kipya baada ya mashauriano na waajiri.
ATE na vyama vya wafanyakazi ambapo mstaafu katika mifuko yote atalipwa asilimia 33 tu kama malipo ya mkupuo. Wale tuliokuwa tumejipanga kuchukua michango yote kwa mkupuo tujiandae.
Wakikujibu uni tagFao la kujitoa vipi?
Pension ukichukua kubwa ya mkupuo monthly Pension inakuwa ndogoUfafanuzi kwa wanaujua madhara au faida zake tafadhali. Kwa maelezo hayo tuu haitoshi kujua mataafu anafaidika au anapunjwa kwa kiasi gani. Weka nyama nyama na supu tuweze kuelewa, kwa mwenye uelewa wa kutosha. Hesabu ya ulinganifu inahusika hapo
Fao la kujitoa mbona halijarejeshwa watu watoe hela zao kila mtu afe na chake??Jana, statement toka Ikulu ilieleza kuwa Rais Samia amepokea mapendekezo ya kanuni mpya ya mafao ya Pensheni, kama ilivyoombwa na chama cha wafanyakazi Tanzania (TUCTA) siku ya sherehe za wafanyakazi (Mei Mosi, 2022), ambapo sasa amekubali ombi la kupandisha malipo ya mafao, kutoka 25% iliyokataliwa na wadau hadi 33.3%.