Kikundi kipya cha Magaidi kimeanza kuua Wananchi huko Nigeria kinaitwa Lukarawa

Hakuna jihadist wala nini, hivyo vikundi vya "wagawe uwatawale".
 
Inasemekana hao Islamic Jihadist wanashambulia Nigeria halafu wanavuka mpaka na kuingia Niger.

Target yao ni Wakristo na vyombo vya Dola ya Federal Republic ya Nigeria.
Inasemekana na nani magaidi wa kikafiri hao
 
Kuna maswali huwa najiuliza:
  • hivi hawa watu huwa na ndugu/jamaa
  • hivi nchi ikiamua kuwa serious kabisa kutokomeza ugaidi inashindwa?
Magaidi wangekua hawaungwi mkono na marekani na NATO na EU ingekua rahisi sana kuwafuta ila hao walowaasisi wana nguvu sana tatizo huanzia hapa
 
Lukarawa wanasema wanataka kuwa kama Hamas kuuwa Wakristo na Waigbo wa Nigeria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…