Kikundi kipya cha Magaidi kimeanza kuua Wananchi huko Nigeria kinaitwa Lukarawa

Kikundi kipya cha Magaidi kimeanza kuua Wananchi huko Nigeria kinaitwa Lukarawa

Wafaransa na washirika wao ni washenzi na ndio chanzo cha instability Kwa kiasi kikubwa Africa ,we angalia tu nchi za kifaransa ,hawa washenzi ni nuksi ,na Mrusi kafanya kazi nzuri kuwafurusha hawa washenzi huko Bikinafasso ,Niger ,Mali , ugaidi hausikiki tena huko ,
Kwanini ninyi wapumbavu hamkai na kujiuliza hili swali , ugaidi umebaki chad ,ngome ya mfaransa na Nigeria ngome ya mmarekani na mwingereza na interests zao humo .
Mfaransa na influence yake Congo DRC ,vita haiishi huko ,natamani wanaume Wagner watie kambi Congo
Kwa hiyo yale makundi ya kigaidi ya Kiislamu ya Africa magharibi ni mali mfaransa? Only in Tanzania
 
Muumini atashika Bunduki ataua Muumini halafu lawama atapewa Marekani.
 
Magaidi wangekua hawaungwi mkono na marekani na NATO na EU ingekua rahisi sana kuwafuta ila hao walowaasisi wana nguvu sana tatizo huanzia hapa
Kwanini Marekadi haundi vikundi vya kigaidi vya Wasabato, Wakatoliki, Walokole Au Mabudha.

Kwanini ni rahisi kumshawishi kijana wa Kiislamu kushika bunduki au kujilipua kuliko vijana wa imani nyingine?
 
as long as uislam bado una exist, ugaidi hautaisha. huu ndio ukweli mchungu, kwa sababu magaidi huwa wanafuata vilevile kama ilivyo kwenye kuran. wala sio wa kuwalaumu, anayestahili kulaumiwa ni yule aliyeleta uislam, mood. hao waumini hawajielewi, mapepo tu yamejaa kichwani ndio yanawaendesha, tena wa kuonewa huruma kabisa.
 
Naskia moja ya agenda yao ni ili wawe huru kuoa vitoto vya miaka 6
Kukamilisha Sunna ya Mtume.
😅
 
Kwanini Marekadi haundi vikundi vya kigaidi vya Wasabato, Wakatoliki, Walokole Au Mabudha.

Kwanini ni rahisi kumshawishi kijana wa Kiislamu kushika bunduki au kujilipua kuliko vijana wa imani nyingine?
Haundi sababu lengo lake kubwa ni kuchafua haiba na sura safi ilokua nayo uislam pia hao wanatumika sio waislam tu bali hata wasiokua waislam lengo tu kuuchafua uislamu nakumbuka kuna gaidi moja la daesh alikua kazi yake kukata watu vichwa alikua mkristo na tena kama sijakosea ni mzungu alifyeka mpaka wamarekani wakristo wenzake
 
as long as uislam bado una exist, ugaidi hautaisha. huu ndio ukweli mchungu, kwa sababu magaidi huwa wanafuata vilevile kama ilivyo kwenye kuran. wala sio wa kuwalaumu, anayestahili kulaumiwa ni yule aliyeleta uislam, mood. hao waumini hawajielewi, mapepo tu yamejaa kichwani ndio yanawaendesha, tena wa kuonewa huruma kabisa.
Wewe hutajielewa hata huyo Yesu wako aje leo uislam wapi uliua watoto au uliamrisha kuuliwa akili fupi sana
 
Halafu wagalatia na wenyewe wazembe inatakiwa na wao wana anzisha vikundi vya kula vichwa vya hao kobazi
 
Lukarawa ni kikundi kilichoasisiwa huko Sokoto State Nigeria, na kina Magaidi kutoka Nigeria Mali Burkina Faso na Niger.

Nigerian Armed Forces sasa hivi inapambana na Boko Haramu, na kuzuka kwa kikundi hiki watakuwa wanapigana katika "two fronts".

Majihadist hao inasemeka idadi yao haijulikani lakini wanaweza kufika Magaidi elfu nane.

View: https://youtu.be/JUaMZr3myOw?si=nTMs18tBUr_CyHyl

Nilipoiona hii habari nilishangaa sana, Nigeria taifa kubwa lenye uchumi mkubwa linashindwaje kuthibiti usalama wake?.....au nayo ni failed State?.....

T14 Armata
 
Nilipoiona hii habari nilishangaa sana, Nigeria taifa kubwa lenye uchumi mkubwa linashindwaje kuthibiti usalama wake?.....au nayo ni failed State?.....

T14 Armata
Ugaidi kuumaliza huwa inachukua muda na inatakiwa Nchi Majirani kushirikiana Intelligence na Movement za Magaidi.

Ni kazi ya pamoja.
 
Halafu wagalatia na wenyewe wazembe inatakiwa na wao wana anzisha vikundi vya kula vichwa vya hao kobazi
Kuna kundi kubwa la Waislamu Poa hao wengi hawayafuatilii mafundisho ya kwenye Quruani hao hawana noma haya Makundi ya Magaidi wanataka kuchonganisha Waislamu Poa na Wakristo.
 
Hahaha Waislamu badala waongeze speed ya kuzaana, wao wanaongeza speed kuua wakristo.
 
Back
Top Bottom