Ronaldo wa kipindi kile alikuwa anaagukaanguka uwanjani kama huyu wa leo? Huyu wa leo haitaji hata microscope kuona kwamba mwili umechoka bwana.Goal scorer ndio role ya center strike ulitaka awe anakaba?
Unavyosema enzi zile. Ronaldo amecheza nafasi nyingi kiwanjani.
Unadhani kwanini 2016 Messi alifanyiwa hivyo? Je hiyo ni kwasababu Messi kuna jambo alilifanya hadi kwa AFA?Unadhani kwanini wanafanya hivyo? Ukiona wanafanya hivyo ujue kuna jambo haliposawa. Alafu hilo tatizo limeanza lini?
Ngoja kwanzaRonaldo wa kipindi kile alikuwa anaagukaanguka uwanjani kama huyu wa leo? Huyu wa leo haitaji hata microscope kuona kwamba mwili umechoka bwana.
Mchango wake ulikuwa goal scoaling wakati wote, lakini Ronaldo ndo wa kukosa zile nafasi mbili dhidi ya Congo kweli? Unadhani kama angefunga zile goli mbili ungekuja na mjadala wako wa kunyimwa pass????
Ronaldo isn't the same! Ronaldo wa wakati ule alikuwa anakupa mbio, nguvu, anawanyima usingizi wapinzani. Yani hata huu mjadala dusingekuwa nao. Huyu wa leo hakupi hivyo vitu. Kwahiyo tukae tu tukisubili wakati akifunga ilihari anapoteza nafasi kizembe, hasisemwe!
Akikosa Ronaldo tukae kimya, ila kina Bruno wakikosa na Neves, na wenzao kelele kila kona. No No No, wachezaliji wote pale Ureno wapewe heshima/ lawam wanapositahili.
Sasa mfano hiyo gemu ya Uzbekistan unadhani Ronaldo alikuwa na maajabu gani haswa?
Messi angalia namna anavyowachachafya Austria mpaka Argentina wenyewe hawaamini.
Na Messi wa leo sio yule wa 2016.
Messi ni GOAT ana world cup,,, Ronaldo sawa tu na Kibu Denis tu world cup 0Hata ungekuwa na hiyo influence ungekuwa ignored tu kama yule journalist aliyekuwa akileta mada za Messi kwenye interview.
Kiufupi ni kwamba ni rahisi kumshinikiza Messi kupitia malalamiko yako lakini sio rahisi kumshinikiza Ronaldo.
Kwa hiyo World Cup ndio iliyomfanya Messi kuwa GOAT?Messi ni GOAT ana world cup,,, Ronaldo sawa tu na Kibu Denis tu world cup 0
Ronaldo Kacheza world cup sita amekuja kuzidiwa Magoli mpaka na Mbappe mtoto wa juzi tu.
Mkuu unapoteza nguvu kubishana na huyo Mwamba...Ronaldo wa kipindi kile alikuwa anaagukaanguka uwanjani kama huyu wa leo? Huyu wa leo haitaji hata microscope kuona kwamba mwili umechoka bwana.
Mchango wake ulikuwa goal scoaling wakati wote, lakini Ronaldo ndo wa kukosa zile nafasi mbili dhidi ya Congo kweli? Unadhani kama angefunga zile goli mbili ungekuja na mjadala wako wa kunyimwa pass????
Ronaldo isn't the same! Ronaldo wa wakati ule alikuwa anakupa mbio, nguvu, anawanyima usingizi wapinzani. Yani hata huu mjadala dusingekuwa nao. Huyu wa leo hakupi hivyo vitu. Kwahiyo tukae tu tukisubili wakati akifunga ilihari anapoteza nafasi kizembe, hasisemwe!
Akikosa Ronaldo tukae kimya, ila kina Bruno wakikosa na Neves, na wenzao kelele kila kona. No No No, wachezaliji wote pale Ureno wapewe heshima/ lawam wanapositahili.
Sasa mfano hiyo gemu ya Uzbekistan unadhani Ronaldo alikuwa na maajabu gani haswa?
Messi angalia namna anavyowachachafya Austria mpaka Argentina wenyewe hawaamini.
Na Messi wa leo sio yule wa 2016.
Husomi kwa umakini maandiko yangu. Kuna sehemu nimesema Messi wa leo sio yule wa miaka hiyo. Lakini Messi bado anao mchango hai pale Argentina; anachezesha timu, anatengeneza nafasi, anafunga magoii, na anaweka uwezo wa ziada. Mfano magoli ya juzi dhidi ya Austria haswa goli la pili lile ni uwezo binafsi, uzoefu, na maamuzi magumu. Kuna nafasi kama mbili pia alikosa ila zilikuwa katika mazingira hayohayo ya jamaa kufanya mambo yasiyoyakawaida yanaonekana easy.Ngoja kwanza
Kwamba una amini Messi wa leo ndio yule wa 2007,8,9,10?
Kwamba contribution ya Messi kiwanjani ipo constant ila Ronaldo tu ndio imeshuka?
Hii ni aina gani ya bias?
Hiyo ya GOAT ni another debateKwa hiyo World Cup ndio iliyomfanya Messi kuwa GOAT?
Mchango hai unaupimaje?Husomi kwa umakini maandiko yangu. Kuna sehemu nimesema Messi wa leo sio yule wa miaka hiyo. Lakini Messi bado anao mchango hai pale Argentina; anachezesha timu, anatengeneza nafasi, anafunga magori, na anaweka uwezo wa ziada. Mfano magori ya juzi dhidi ya Austria haswa goli la pili lile ni uwezo binafsi, uzoefe, na maamuzi magumu. Kuna nafasi kama mbili pia alikosa ila zilikuwa katika mazingira hayohaya ya jamaa kufanya mambo yasiyoyakawaida yanaonekana easy.
Hiyo "ANGE" itoe kabisa. Huko al nasry amefanya nini la maanaTofauti na wenzake kama Mbape na Messi ambao wao huwa ndiyo target ya pass za mwisho, kwa Cristiano Ronaldo yeye kwa sasa si kipaumbele kwa pass ya mwisho. Wachezaji wenzake naona kama wanamwonea wivu fulani, japo watake wasitake CR7 bado ni muhimu sana kwao.
Kama CR7 angepewa umuhimu na wenzake anaostahili angetupia nyingi sana!
Wewe unayelazimisha kufanya comparison ya Messi na Ronaldo je una maana gani? Messi ni play maker. Ronaldo anacheza center foward sio kwa sababu ndo anapenda sana kucheza. Kwa sababu kuna kitu kimepungua. Huko nyuma mbona alikuwa anafanya hivyo? Hakujua kwamba yalikuwa majukumu ya play makers?Mchango hai unaupimaje?
Kwanini unalazimishe swala la playmaker kama hoja ya msingi wakati hawa wachezaji wanacheza position tofauti?
Hivi center striker unaanzaje kumjaji kwa factor ya u-playmake?
Ngoja nikukumbushe kitu.Ronaldo sio standing straika kama unavyosema, yule ni winga kwa asilia, mshambuliaji wa pembeni tena zaidi kushoto (utaniweka sawa). Tunamdai magoli, sawa kabisa. Kwanini Roberto Martinez anaona bora CR7 asimike kama straika pale mbele. Jibu jepesi, ni kwamba anaona jamaa hawezi tena hekaheka za kulazimisha magoli akitokea pembeni kama enzi hizo. Ko bora asimame pale kati asubili mipira kwa sababu kuweka mpira kambani kwa mtu kama Ronaldo sio ishu.
Ni kwasababu hufuatilii kujua katika hizo nyakati alizokuwa anacheza hiyo nafasi sababu ilikuwa ni nini.Wewe unayelazimisha kufanya comparison ya Messi na Ronaldo je una maana gani? Messi ni play maker. Ronaldo anacheza center foward sio kwa sababu ndo anapenda sana kucheza. Kwa sababu kuna kitu kimepungua. Huko nyuma mbona alikuwa anafanya hivyo? Hakujua kwamba yalikuwa majukumu ya play makers?
Sasa hivi mpira umebadilika, ndio maana zinatokea mijadala ya modern straikers. Kwa mfano wewe sasa hivi nikikwambia chagua namba tisa kati ya Ronaldo na Harrikane; unamchagua nani? Na kwa sababu zipi.
Harrycane ni namba tisa ila uhai wake upo uwanjani unauona. Harrycane wa sasa huwezimlinganisha na Ronaldo wa sasa.
Ok, Halland ni aina ya mastraika hao unaowataja wewe, hivi Halland na Ronaldo kwa performance ya sahivi nani unasimama naye kama namba tisa? Tukiweka ushabiki pembeni?
Unajua kwamba Saud Pro league ni bora kuliko MLS?Hiyo "ANGE" itoe kabisa. Huko al nasry amefanya nini la maana
Tofautisha kati ya wachezaji wawili (Cr7 na mbape) ukokotaji wao utalingana na Mess?
Messi ni Playmaker, assists goalscorer, mtafutaji, mpiga vyenga n.k. Sasa hao wawili wana sifa gani mpaka useme wanamuonea wivu na muhimu kwao!! Tena huyo mbape acha kabisa kumweka na Messi, huyo level yake wakina neymar, rashford na kane.
As long as ameiweka, it can also be debatableHiyo ya GOAT ni another debate
Maajabu ni nini?Sasa mfano hiyo gemu ya Uzbekistan unadhani Ronaldo alikuwa na maajabu gani haswa?
Messi angalia namna anavyowachachafya Austria mpaka Argentina wenyewe hawaamini.
Punguza kusema ukweli sana watachukia 🤣🤣🤣Nlichokiona gem na uzbekstan jamaa hakabi saiv anasubiria tu mipira ya kutengenezewa.