Kikwete afunguka yaliyojiri CCM mpaka Hayati Magufuli akapeperusha bendera ya CCM

Mzee Kikwete alitukosea sana kwa kutuletea Chizi mwenye matatizo ya Moyo.

Bora Membe kuliko Mtu aliyestahili kufungiwa Milembe na ufunguo kutupwa kwenye Volcano ya Oldonyo leNgai.

Anyway mimi binafsi nimeshamsamehe Mzee wetu Jakaya Kikwete.
JK mtu poa sana, yupo simple, hajioni mungu mtu, wala kuwa na vinyongo
Ataishi miaka mingi kama Mzee Mwinyi, japokuwa Warundi wa Tanzania hawampendi
 
Membe kabila dogo,yule mwamba kete ya ukabila unapata urahisi wa Kura tabora,shinyanga,simiyu,geita,mwanza...wamwera hata laki Tano hawafiki
 
Mzee Kikwete alitukosea sana kwa kutuletea Chizi mwenye matatizo ya Moyo.

Bora Membe kuliko Mtu aliyestahili kufungiwa Milembe na ufunguo kutupwa kwenye Volcano ya Oldonyo leNgai.

Anyway mimi binafsi nimeshamsamehe Mzee wetu Jakaya Kikwete.
Mi laugh...🤣🤣🤣🤣
 
Tena umeme wa Mabeberu halafu yeye kila siku anawaaminisha "Wamachinga"wake kuwa yuko kwenye vita na Mabeberu wakati Betrii yake inatumia Bluetooth🤣

IQ yake ilikuwa hafifu sana.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🧒
 
JK mtu poa sana, yupo simple, hajioni mungu mtu, wala kuwa na vinyongo
Ataishi miaka mingi kama Mzee Mwinyi, japokuwa Warundi wa Tanzania hawampendi
Raisi aliyeruhusu Demokrasia istawi na Uchumi matokeo yake tukawa tunamtukana na kumdhalilisha.

Mimi sikuwahi hata siku moja kumsema vibaya huyu Mzee wangu.

Mungu ampe maisha marefu na siha njema
 
Mzee Kikwete alitukosea sana kwa kutuletea Chizi mwenye matatizo ya Moyo.

Bora Membe kuliko Mtu aliyestahili kufungiwa Milembe na ufunguo kutupwa kwenye Volcano ya Oldonyo leNgai.

Anyway mimi binafsi nimeshamsamehe Mzee wetu Jakaya Kikwete.
Uzuri wake alikuwa pia anajua akizingua,anamzingua na yeye.Ndo hivyo bhana akajifanya mjanja kwelikweli,tukaa vikao vyetu tukasema hapana,hatuwezi kwenda naye,ni lazima tuachane naye.Lakini Sasa,mtu huyu kakamata kila pahala,kakamata kila mtu,tunaendaje? Ni kamuita Abdul,nikamuita huyo unayesema ndugu yangu.Tukaongea Sana,ndipo tukakumbuka nadharia ya dakika ya 89.Busara ya mbayuwayu.....za kwako ,changanya na za kuambiwa.
 
Raisi aliyeruhusu Demokrasia istawi na Uchumi matokeo yake tukawa tunamtukana na kumdhalilisha.

Mimi sikuwahi hata siku moja kumsema vibaya huyu Mzee wangu.

Mungu ampe maisha marefu na siha njema
JK nilimkosoa sababu kuna mambo hakuwa aggressive vya kutosha

Lakini kabla hajaondoka madarakani nakumbuka mwaka 2014 niliwaambia watu waliokuwa wakimponda kuwa huyu mzee pamoja na kumsema anapenda demokrasia, wakanipuuza
 
Tena sisi Wapinzani ndio tuluokuwa tumejufunga "kibwebwe" na kumfedhehesha, yeye alikuwa anacheka tu.

Huyu mzee ndie aliyeirudisha heshima yetu kwa kuwanyoosha M23.

Uongo mbaya siasa zake za kupenda Demokrasia zilinivutia sana.

Baada ya ujio wa Jinamizi nikazihama siasa za CCM for good.
 
Back
Top Bottom