Kikwete afunguka yaliyojiri CCM mpaka Hayati Magufuli akapeperusha bendera ya CCM

Kikwete afunguka yaliyojiri CCM mpaka Hayati Magufuli akapeperusha bendera ya CCM

Mzee Kikwete alitukosea sana kwa kutuletea Chizi mwenye matatizo ya Moyo.

Bora Membe kuliko Mtu aliyestahili kufungiwa Milembe na ufunguo kutupwa kwenye Volcano ya Oldonyo leNgai.

Anyway mimi binafsi nimeshamsamehe Mzee wetu Jakaya Kikwete.
Alifanya kosa kubwa sana. Alileta jitu limetupotezea nguvu kazi limeuwa vijana wenye akili limeharibu democrasia likaunda wanausalama wa kisukuma.

Alikuwa rais mseng.e kuwahi kutokea
 
wanausalama wa kisukuma.
True,Magufuli alikuwa ni Raisi wa kwanza Mkabila na Mkanda kuwahi kutokea.

Alitaka kutuingiza kwenye Kansa ya Ukabila kutu ambacho kimeyaangamiza mataifa mengi ya Ndugu zetu Waafrika.
 
Mtangazaji: Watanzania wangetamani kusikia kutoka kwenye kinywa chako, nini ambacho kilitokea mwaka 2015? Matarajio ya wengi yalikuwa Benard Membe na Edward Lowassa, mmoja rafiki yako, mmoja ndugu yako ukiwaandaa wote kuwa marais lakini matokeo yakaja tofauti kabisa ambayo wengi hawakutarajia.

Kikwete: Kwanza niseme, Membe sio ndugu yangu(Kicheko), hatuna undugu kabisa, Membe Mmwera mie Mkwere, hakuna undugu mengine maneno ya siasa, nimeshangaa kweli.

Membe nimekuja kumfahamu baadae sana maishani.

Mchakato ule tumeufanya kuwa ni mchakato open, sisi 95 tulikuwa wagombea 17, 2005 tulikuwa wagombea 11, 2015 kulikuwa na wagombea 42.

Kwa utaratibu ambao CCM tumeweka hatuwezi kupeleka wote 42. Kazi ya kamati kuu ni kufanya shortlist ya watu watano, tukafanya shortlist ya watu watano, wanaume 3 na wanawake 2.

Tukawa na mjadala mkubwa sana kwanza kwenye kamati ya maadili, tunaangalia mambo mengi, afya zao, tabia, makandokando, vitu vingi hatimae tukaja na orodha ya watu watano.

Tulivyokwenda kwenye kamati kuu ikawa na mjadala mkubwa sana, kwanini huyu mmemuacha.

Wakati huo wanasema Magufuli hajawahi kuwa kiongozi yoyote kwenye chama hiki hata kuwa balozi atakuwa mwenyekiti wa chama.

Kikwete anasema walizingumza mpaka wakaona bora wapige kura na yakaja yale majina matatu yakaenda.

Mtangazaji: Wakasema umekuja nayo mfukoni!

Kikwete: Ndio inavyokuwa, orodha ya watu watano niliidraw mimi, mimi ndio mwenyekiti, mkutano ni lazima uuongoze. Unasema mimi kwa maoni yangu watano hawa. Tunafika mahali tunakubaliana, lile libaraza la wazee halina kazi nyingine zaidi ya kipindi cha transition.
Afya mliwapima ukimwi?
 
Hv Ile vita iliishaje?
Tena umeme wa Mabeberu halafu yeye kila siku anawaaminisha "Wamachinga"wake kuwa yuko kwenye vita na Mabeberu wakati Betrii yake inatumia Bluetooth[emoji1787]

IQ yake ilikuwa hafifu sana.
 
Niliposikia Jiwe limekuwa Tope pale Mzena
Mimi 👇
200 (17).gif
 
Alifanya kosa kubwa sana. Alileta jitu limetupotezea nguvu kazi limeuwa vijana wenye akili limeharibu democrasia likaunda wanausalama wa kisukuma.

Alikuwa rais mseng.e kuwahi kutokea
Kwa Tanzania ipi? Watanzania wenyewe ni kama maiti tu mkipelekwa huku mnaenda mkirudishwa kule mnaenda.
 
Kulikuwa hakuna vita bali ulaghai wake tu.

Alisababisha Watanzania wenzetu wengi kufa kwa covid19, mimi nawajua jamaa zangu na marafiki wazuri na open minded zaidi ya 20 kufa ndani ya miezi mitatu.
Kwani kuna nchi watu hawajafa kwa covid?
 
Mzee Kikwete alitukosea sana kwa kutuletea Chizi mwenye matatizo ya Moyo.

Bora Membe kuliko Mtu aliyestahili kufungiwa Milembe na ufunguo kutupwa kwenye Volcano ya Oldonyo leNgai.

Anyway mimi binafsi nimeshamsamehe Mzee wetu Jakaya Kikwete.
Tusilaumu tulipoangukia bali tulipojikwaa. Makosa yalianza pale Kikwete alipopewa urais badala ya Salim.
 
Mzee Kikwete alitukosea sana kwa kutuletea Chizi mwenye matatizo ya Moyo.

Bora Membe kuliko Mtu aliyestahili kufungiwa Milembe na ufunguo kutupwa kwenye Volcano ya Oldonyo leNgai.

Anyway mimi binafsi nimeshamsamehe Mzee wetu Jakaya Kikwete.
Nata Mimi nimemsamehe
 
Back
Top Bottom