nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
Magufuli alikuwa miongoni mwa mawaziri waliokuwa na sifa nzuri sana enzi zakeMzee Kikwete alitukosea sana kwa kutuletea Chizi mwenye matatizo ya Moyo.
Bora Membe kuliko Mtu aliyestahili kufungiwa Milembe na ufunguo kutupwa kwenye Volcano ya Oldonyo leNgai.
Anyway... mimi binafsi nimeshamsamehe Mzee wetu Jakaya Kikwete.
Nenda ukazione Barabara zote alizozisimamia ni mabonde matupu.Magufuli alikuwa miongoni mwa mawaziri waliokuwa na sifa nzuri sana enzi zake
Hakuna aisee, yule naye ni mlolongo wa idealists kama Nyerere, lakini action kidogo sana. But, hivi kweli hata huo mchujo, JK akaona ile list ya wale watano was the best? kweli?Nadhani Salim angekuwa rais bora na ambaye angefuata angekuwa bora. Tusingeingia kwenye hii visual circle ya sasa. Tulikubali kushusha standard za urais kwa kumpa Kikwete hivyo circle imeendelea na kujitoa hapo itakuwa kazi kubwa.
Turudi nyuma. Nyerere alikuwa idealist na hakuwa na action? Are you kidding me? Unajua mpaka sasa hivi Nyerere ndiye rais bora kuliko marais wote ambao tumekuwa nao Tanzania? Unajua extent ambayo Kikwete ameharibu nchi yetu? Unaona jinsi viongozi wengi wabovu na vilaza walivyoweza kujipenyeza kwenye system na kuwaondoa tena itakuwa ni kazi kubwa? Mtanlaumu Samia, mtamlaumu Magufuli ila Tanzania imeanza kwenda kombo pale Kikwete alipopata urais wa kununua kwa fedha. Au pengine sahihi zaidi tumlaumu Mkapa kwa kutoweza kudhibiti waliotumia fedha kupata urais. Ilatakiwa afanye kama Kikwete alivyofanya kwa Lowassa.Hakuna aisee, yule naye ni mlolongo wa idealists kama Nyerere, lakini action kidogo sana. But, hivi kweli hata huo mchujo, JK akaona ile list ya wale watano was the best? kweli?
Kwani ule ugonjwa wa Magufuli ulikuwa ni shida kubwa. Kuna watu wengi tu wana hitilafu aliyokuwa nayo na wanaishi maisha ya kawaida. Ni kwa vile alikuwa mbishi na akaacha kuchukuwa tahadhari kwenye korona ikampata kwa kirahisi. Alitakiwa ajihadhari na chanjo zikianza kutumika achome mara moja.Unaweza kuwa hai ila huna uwezo wa kuongoza mzee baba. Magufuli amekufa kwa magonjwa ambayo wengi tunatembea nayo. Changamoto ya Lowassa ni kwamba ugonjwa wake unapelekea hata kumbukumbu kuondoka hivyo tungemuweka kando tu kwa namna yoyote ingali yuko hai.
“I’m not really supposed to say that but it’s obvious fact. And you know, when stupid people vote, you know who they nominate? Other stupid people.”Mtangazaji: Watanzania wangetamani kusikia kutoka kwenye kinywa chako, nini ambacho kilitokea mwaka 2015? Matarajio ya wengi yalikuwa Benard Membe na Edward Lowassa, mmoja rafiki yako, mmoja ndugu yako ukiwaandaa wote kuwa marais lakini matokeo yakaja tofauti kabisa ambayo wengi hawakutarajia.
Kikwete: Kwanza niseme, Membe sio ndugu yangu(Kicheko), hatuna undugu kabisa, Membe Mmwera mie Mkwere, hakuna undugu mengine maneno ya siasa, nimeshangaa kweli.
Membe nimekuja kumfahamu baadae sana maishani.
Mchakato ule tumeufanya kuwa ni mchakato open, sisi 95 tulikuwa wagombea 17, 2005 tulikuwa wagombea 11, 2015 kulikuwa na wagombea 42.
Kwa utaratibu ambao CCM tumeweka hatuwezi kupeleka wote 42. Kazi ya kamati kuu ni kufanya shortlist ya watu watano, tukafanya shortlist ya watu watano, wanaume 3 na wanawake 2.
Tukawa na mjadala mkubwa sana kwanza kwenye kamati ya maadili, tunaangalia mambo mengi, afya zao, tabia, makandokando, vitu vingi hatimae tukaja na orodha ya watu watano.
Tulivyokwenda kwenye kamati kuu ikawa na mjadala mkubwa sana, kwanini huyu mmemuacha.
Wakati huo wanasema Magufuli hajawahi kuwa kiongozi yoyote kwenye chama hiki hata kuwa balozi atakuwa mwenyekiti wa chama.
Kikwete anasema walizingumza mpaka wakaona bora wapige kura na yakaja yale majina matatu yakaenda.
Mtangazaji: Wakasema umekuja nayo mfukoni!
Kikwete: Ndio inavyokuwa, orodha ya watu watano niliidraw mimi, mimi ndio mwenyekiti, mkutano ni lazima uuongoze. Unasema mimi kwa maoni yangu watano hawa. Tunafika mahali tunakubaliana, lile libaraza la wazee halina kazi nyingine zaidi ya kipindi cha transition.
Ostadhi Juma na MusomaUstaz najua kwann unamtusi magu [emoji16]
Twende msikitini tukapunguze chuki
Kwahyo kumbe kweli alikuja na majina yake mfukoniMtangazaji: Watanzania wangetamani kusikia kutoka kwenye kinywa chako, nini ambacho kilitokea mwaka 2015? Matarajio ya wengi yalikuwa Benard Membe na Edward Lowassa, mmoja rafiki yako, mmoja ndugu yako ukiwaandaa wote kuwa marais lakini matokeo yakaja tofauti kabisa ambayo wengi hawakutarajia.
Kikwete: Kwanza niseme, Membe sio ndugu yangu(Kicheko), hatuna undugu kabisa, Membe Mmwera mie Mkwere, hakuna undugu mengine maneno ya siasa, nimeshangaa kweli.
Membe nimekuja kumfahamu baadae sana maishani.
Mchakato ule tumeufanya kuwa ni mchakato open, sisi 95 tulikuwa wagombea 17, 2005 tulikuwa wagombea 11, 2015 kulikuwa na wagombea 42.
Kwa utaratibu ambao CCM tumeweka hatuwezi kupeleka wote 42. Kazi ya kamati kuu ni kufanya shortlist ya watu watano, tukafanya shortlist ya watu watano, wanaume 3 na wanawake 2.
Tukawa na mjadala mkubwa sana kwanza kwenye kamati ya maadili, tunaangalia mambo mengi, afya zao, tabia, makandokando, vitu vingi hatimae tukaja na orodha ya watu watano.
Tulivyokwenda kwenye kamati kuu ikawa na mjadala mkubwa sana, kwanini huyu mmemuacha.
Wakati huo wanasema Magufuli hajawahi kuwa kiongozi yoyote kwenye chama hiki hata kuwa balozi atakuwa mwenyekiti wa chama.
Kikwete anasema walizingumza mpaka wakaona bora wapige kura na yakaja yale majina matatu yakaenda.
Mtangazaji: Wakasema umekuja nayo mfukoni!
Kikwete: Ndio inavyokuwa, orodha ya watu watano niliidraw mimi, mimi ndio mwenyekiti, mkutano ni lazima uuongoze. Unasema mimi kwa maoni yangu watano hawa. Tunafika mahali tunakubaliana, lile libaraza la wazee halina kazi nyingine zaidi ya kipindi cha transition.
Swali la gesi hata asipoulizwa dunian lakin kwa alichotufanyia huyu mzee mtanashati ataulizwa tu huko purgatory. Ili akifeli utetez ashushwe kwenye tanuru vizuriMwandishi angemuuliza nini kilitokea kwa Gas yetu mtwara hadi wakafanya udhulumati mkubwa sana kwa wa Tz kupitia wabunge wa ccm.
Hilo la gas halisemwagi kabisa ikifikia hapo anaibuliwa mwendazake ili hilo lisisemwe.Swali la gesi hata asipoulizwa dunian lakin kwa alichotufanyia huyu mzee mtanashati ataulizwa tu huko purgatory. Ili akifeli utetez ashushwe kwenye tanuru vizuri
Baada ya kuwajua wazungu vizuri nimekubali tunahitaji mfumo wetu wa kutawalana hata kama ni modified democracy. Democracy ni silaha mbaya sana pale inapotumiwa kuharibiana.Hilo la gas halisemwagi kabisa ikifikia hapo anaibuliwa mwendazake ili hilo lisisemwe.