Porojo zingine mpya. Hivi ulishachukuwa Uraia wa USA? au bado uko mafichoni?
Incredible and very intelligent question:
a. Kwanza na zaidi kabisa walitakiwa kuangalia Katiba ya sasa inasemaje kuhusiana na kuandika Katiba Mpya.
b. Kwa vile Katiba ya sasa hairuhusu kuandika Katiba Mpya (chini ya Ibara ya 98) basi walitakiwa kufanyia marekebisho Katiba ya sasa (hasa kwa watu wanaosema wanafuata utawala wa Katiba na Sheria)
c. Katika mabadiliko hayo ya Katiba walitakiwa kuweka utaratibu wa kuandika Katiba Mpya kama ulivyo utaratibu wa kufanyia marekebisho Katiba ya sasa.
Kutoka hayo matatu ndio tungezungumzia kuandika Katiba Mpya.
Sasa hivi wote hawa wanaweza kuitwa wahaini tu!
1.Tarehe 20 Desemba mwaka 2010 wakati Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Bw. John Mnyika alipowasilisha bungeni hoja binafsi ya mabadiliko ya katiba mpya, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema alisema kuwa haiwezekani kuandikwa upya na badala yake kinachowezekana ni kuifanyia marekebisho iliyopo. Jaji Werema ambaye ndiye mshauri mkuu wa Serikali katika masuala ya kisheria aliweka msimamo wake huo katika viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam katika hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande.
2. Aliyekuwa Waziri wa Sheria wakati huo, Celina Kombaine, akimuunga mkono mwanasheria mkuu, naye alidai kutokuwepo na umuhimu wa kuwepo katiba mpya na kwamba Serikali inaridhika na utaratibu uliopo wa kuifanyia katiba hiyo marekebisho ya mara kwa mara pindi umuhimu wa kufanya hivyo unapokuwapo. Alisema hayo mara baada ya kuhudhuria kikao cha baraza jipya la mawaziri kilichofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam, chini ya mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete na kuongeza kwamba wale wanaodai katiba mpya ni watu wa barabarani wasiokuwa na uelewa juu ya masuala hayo.
Mungu ibariki Tanzania.KWA HIYO, BASI, KATIBA HII IMETUNGWA NA BUNGE MAALUM LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, kwa niaba ya Wananchi, kwa madhumuni ya kujenga jamii kama hiyo, na pia kwa ajili ya kuhakikisha kwamba Tanzania inaongozwa na Serikali yenye kufuata misingi ya demokrasia na ujamaa.
Wanajamvi hebu tujikumbushe kidogo tulitokea wapi na tunaelekea wapi;
Nimetoa mifano hii miwili kwa lengo moja tu kuonesha kwamba kabla ya mswada binafsi wa Mbunge wa Ubungo kuwasilishwa bungeni, hakuna ushahidi wowote unaoonesha kwamba upatikanaji wa katiba mpya uliwahi kuwa sera, ilani au ajenda ya chama tawala wala serikali yake. Kwa ufupi ni kwamba madai yoyote kuhusu katiba mpya kama kawaida yalipuuzwa na kubezwa kila yalipotolewa na wananchi wema walioweza kuona dira ya wapi tunakotoka na wapi tunataka kufika.
Kama mlivyoshuhudia hapo juu kauli hizo mbili zilitolewa kwenye viwanja vya Ikulu na vilitolewa baada ya ama shughuli au vikao rasmi vilivyosimamiwa na Raisi Jakaya Kikwete. Si hayo tu, miongoni wa ama waliohudhuria au waliotoa kauli hizo ni pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri wa Sheria na Jaji Mkuu wa Mahakama nchini. Pamoja na hayo, matamko haya yalitolewa wakati ambapo msimamo wa chama tawala, CCM, ulijulikana kuhusu swala zima la katiba mpya.
Swali linalojitokeza hapa kama anavyodokeza Mwanakijiji ni je, Kikwete alipata wapi madaraka ya kuanzisha mchakato wa kuandika Katiba mpya ya JMT? Kama aliamua kama Raisi, kipengele gani cha katiba ya nchi kilimruhusu? Kama aliamua kama Mwenyekiti wa CCM, maamuzi ya kikao gani yalimruhusu? Kama aliamua kama Mkuu wa serikali, je Baraza la Mawaziri lilishirikishwa? Okay, wapo watakaodai kama Raisi hahitaji ruhusa, kama ni hivyo huu mchakato ni haramu!
Hii nchi haiendeshwi kidikteta, ni nchi ya kidemokrasia inayoendeshwa kulingana na matakwa ya katiba iliyopo ambayo yeye kama Raisi aliapa kuilinda na kuitetea. Katiba ya nchi si jambo dogo, katiba ni sheria mama na ni katiba hiyo hiyo ndiyo inampa mamlaka Raisi pamoja na serikali anayoisimamia. Kuuacha mchakato wa katiba mikononi mwa mtu ambaye kwa kiwango chochote kile ameonesha udhaifu mkubwa katika kusimamia mambo ya msingi bila kuyumba ni kujitafutia balaa.
Mfano wa udhaifu ninaouongelea ni kama huu wa sintofahamu uliojitokeza sasa wa kutoweza kutoa maamuzi mara moja kuhusu mswada uliopitishwa na Bunge uliogubikwa na utata. Raisi alitakiwa awe anafuatilia kwa makini sana huu mjadala mzito ndani na nje ya Bunge hata kama angekuwa hayupo nchini. Wakati mwingine msimamo wa Raisi hutakiwa kutolewa mapema hata kabla ya mswada kumfikia kama ataukubali au la kulingana na hoja zinavyotolewa bungeni.
Hapana, kwa mtindo huu hatufiki na kama hatukujifunza kwa majirani zetu Kenya nguvu ya Umma ulipokataa rasimu iliyofikishwa kwao kwa njia ya kura ya maoni, basi hatuna tofauti na mbuni. Katiba ni ya wananchi na wao ndio watakuwa waamuzi wa mwisho kama wataafiki kitakacholetwa mbele yao au wataikataa...naomba kunukuu sehemu ya utangulizikatika misingi ya katiba yetu ya sasa inavyotamka;
Mungu ibariki Tanzania.
Mkuu mwanakijiji pengine huko sawa na malalamiko yako, lakini tunaomba mwongozo wako wa mawazo hiwapo hayo madai yako ya mchakato hayapo sawa na endapo yatarekebishwa.Incredible and very intelligent question:
a. Kwanza na zaidi kabisa walitakiwa kuangalia Katiba ya sasa inasemaje kuhusiana na kuandika Katiba Mpya.
b. Kwa vile Katiba ya sasa hairuhusu kuandika Katiba Mpya (chini ya Ibara ya 98) basi walitakiwa kufanyia marekebisho Katiba ya sasa (hasa kwa watu wanaosema wanafuata utawala wa Katiba na Sheria)
c. Katika mabadiliko hayo ya Katiba walitakiwa kuweka utaratibu wa kuandika Katiba Mpya kama ulivyo utaratibu wa kufanyia marekebisho Katiba ya sasa.
Kutoka hayo matatu ndio tungezungumzia kuandika Katiba Mpya.
Sasa hivi wote hawa wanaweza kuitwa wahaini tu!
Nakubalina na hoja ya kuwa kuna umuhimu wa vyombo huru and independent hili kuweka sawa checks, lakini source ya matatizo hayo ni katiba mpya au kupunguza nguvu ambazo kwa sasa ni overlapping decision making from one government body especially the presidency.HAJA ya kubadilisha katiba na kuwa na yenye taasisi huru (NEC, Polisi, TAKUKURU etc) ilikuwepo siku nyingi, na ilifikia kileleni wakati wa uchaguzi mkuu wa 2010. Ili kukidhi hiyo HAJA, HOJA ya mchakato wa katiba mpya ikapelekwa bungeni.Kama HOJA ya katiba mpya haitakidhi HAJA ya wananchi, basi tutakuwa tumepoteza muda tu. Ndiyo maana bila makubaliano ya wengi (vyama vyote vikubwa) ni bure kwa CCM kudhani itapatikana katiba ya kikwao. Katiba ni kwa ajili ya wananchi, na sio wananchi kwa ajili ya katiba. Kwa umoja wao, wananchi wakitaka kubadilisha katiba wanaweza. Wapo juu ya katiba.
Tuchukulie kuwa ni swali la kitoto lijibu basi; maana hata mtoto akiuliza swali anapewa jibu. Ukiona mtu mzima anashindwa kujibu swali la mtoto ni kwa sababu mtoto kauliza swali gumu. Wewe unaamini Kikwete (Rais wa Tanzania) ana madaraka ya kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya.
Anatabia mbaya sana huyo Mwanakijiji binafsi i hate him to bits kwa upotoshaji wake if only people could see him him for what he is.Kwanza kaa chini ujiulize ni nini maana ya madaraka. Nadhani hicho ndicho unachoshindwa kuelewa, maana ya neno madaraka.
Rais asingekuwa na madaraka ya kusimamia (sio kuanzisha, kwa sababu Kikwete hajaanzisha mchakato wa katiba mpya - hapo napo kajifunze ni nani au nini kilichoanzisha mchakato wa katiba mpya) mchakato wa katiba mpya, basi tusingekuwa hapa tulipo.
Katiba is a political-legal agenda na ukiifikiria kimahakama tu lazima upotoke, hasahasa kama huna nia njema kama ulivyo wewe.
Anatabia mbaya sana huyo Mwanakijiji binafsi i hate him to bits kwa upotoshaji wake if only people could see him him for what he is.
chombo halali kinapatikana kwa njia halali. Chukulia kwa mfano; Rais Kikwete akiamua kesho kuwa anaanzisha Mahakama ya Wanawake - je itakuwa ni halali kwa yeye kufanya hivyo kwa sababu tu anaamini kesi zinazohusiana na wanawake zinahitaji mahakama maalum; na wakatokea wanawake wengi wakamuunga mkono... sisi wengine tutapinga kwa sababu hana madaraka ya kuanzisha mahakama!
Mkuu Mzee Mwanakijiji, debates zote zina pande mbili tuu, for or against!, nilipouanzisha ule mjadala, nilisema kwenye mchakato wa katiba, Chadema did a wrong move, took a wrong step, hivyo kwa kutousimamisha, they'll have either to live with it, or suffer the consequences!, watu wa for ni wale waliokubaliana na mimi, watu wa against ni wale waliopingana na mimi. Wewe ulikuwa against na kusisitiza Chadema did the right thing and the right move!.Pasco naomba urejee nada yako hiyo na unioneshe nilipokubeza kwani ukosoaji wangu wa mchakato huu haujaanza baada ya mswada kuletwa bungeni bali ulianza pale Kikwete alipotangaza tu nia ya kutaka kuanzisha mchakato huu. So nioneshe nilipokubeza ili nikuuombe radhi.
Mkuu Mzee Mwanakijiji, sometimes "The end, justifies the means!", tukiangalia mchakato wa kupatikana jii katiba ya JMT ya 1977 na huu unaondelea sasa, we are 100 times better off!, as of now, its too little too late!,Incredible and very intelligent question:
a. Kwanza na zaidi kabisa walitakiwa kuangalia Katiba ya sasa inasemaje kuhusiana na kuandika Katiba Mpya.
b. Kwa vile Katiba ya sasa hairuhusu kuandika Katiba Mpya (chini ya Ibara ya 98) basi walitakiwa kufanyia marekebisho Katiba ya sasa (hasa kwa watu wanaosema wanafuata utawala wa Katiba na Sheria)
c. Katika mabadiliko hayo ya Katiba walitakiwa kuweka utaratibu wa kuandika Katiba Mpya kama ulivyo utaratibu wa kufanyia marekebisho Katiba ya sasa.
Kutoka hayo matatu ndio tungezungumzia kuandika Katiba Mpya.
Sasa hivi wote hawa wanaweza kuitwa wahaini tu!
Kaka too direct kutaka kifungu maalumu kinacho lipa bunge mamlaka ya kutunga sheria ya katiba mpya.Anyway, ninavyoelewa mie katiba ni mwongozo, nakubaliana na wewe kuwa hakuna specific kifungu katika katiba kinalipa bunge uwezo wa kutunga katiba mpya..Lkn bunge ni chombo cha kisheria kinachotunga sheria za nchi yetu nahakuna chombo kingine kinachofanya kazi hiyo.
Mkuu Mzee Mwanakijiji, sometimes "The end, justifies the means!", tukiangalia mchakato wa kupatikana jii katiba ya JMT ya 1977 na huu unaondelea sasa, we are 100 times better off!, as of now, its too little too late!,
Tuendeleze mchakato tupate katiba katiba mpya, hata kama sio "katiba bora!. bali ni "bora katiba!".
Pasco.
Mkuu Mzee Mwanakijiji, debates zote zina pande mbili tuu, for or against!, nilipouanzisha ule mjadala, nilisema kwenye mchakato wa katiba, Chadema did a wrong move, took a wrong step, hivyo kwa kutousimamisha, they'll have either to live with it, or suffer the consequences!, watu wa for ni wale waliokubaliana na mimi, watu wa against ni wale waliopingana na mimi. Wewe ulikuwa against na kusisitiza Chadema did the right thing and the right move!.
Anatabia mbaya sana huyo Mwanakijiji binafsi i hate him to bits kwa upotoshaji wake if only people could see him him for what he is.
Kwanza kaa chini ujiulize ni nini maana ya madaraka. Nadhani hicho ndicho unachoshindwa kuelewa, maana ya neno madaraka.
Rais asingekuwa na madaraka ya kusimamia (sio kuanzisha, kwa sababu Kikwete hajaanzisha mchakato wa katiba mpya - hapo napo kajifunze ni nani au nini kilichoanzisha mchakato wa katiba mpya) mchakato wa katiba mpya, basi tusingekuwa hapa tulipo.
Katiba is a political-legal agenda na ukiifikiria kimahakama tu lazima upotoke, hasahasa kama huna nia njema kama ulivyo wewe.