Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
- #81
Mkuu kaka anashindwa kuelewa kuwa some times illegal things can be appropriate,but an issue is appropriate for what?
Oh boy; what kind of logic is this?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kaka anashindwa kuelewa kuwa some times illegal things can be appropriate,but an issue is appropriate for what?
Ok mkuu,na njia halali ya kukipata chombo halali ni ipi?shukran.chombo halali kinapatikana kwa njia halali. Chukulia kwa mfano; Rais Kikwete akiamua kesho kuwa anaanzisha Mahakama ya Wanawake - je itakuwa ni halali kwa yeye kufanya hivyo kwa sababu tu anaamini kesi zinazohusiana na wanawake zinahitaji mahakama maalum; na wakatokea wanawake wengi wakamuunga mkono... sisi wengine tutapinga kwa sababu hana madaraka ya kuanzisha mahakama!
Raisi hana madaraka ya kuanzisha mchakato wa katiba main topic ya thread hii, bunge pia aliwezi kwa madai yako aliyebaki na anaejua njia mbadala ni mwanakijiji mwenyewe yeye ndio much-know, mwee (in mwanakijiji's voice) hata sijui kwenye katiba mpya wewe kama mtanzania unataka nini zaidi ya fujo.Bunge kwa vile linatunga sheria haliwezi kupitisha sheria ya kufuta Katiba ya sasa! Lakini kwa maajabu Watanzania wamekubali kuwa Bunge lina uwezo huo.
Watu wenye akili hawapaswi kukubali uovu na uharamu kwa sababu ya convenience. Ndoa ikifungwa hata kama watu wamekula wali na kufanya harusi kubwa haiendelei kuwa ndoa kama itaonekana haikuwa halali. Uhalali wa ndoa hauji kwa vile watu wamekubaliana kuishi pamoja na kupendana la hasha.
Lakini pia si kweli kuwa it is too little na too late; Mchakato huu haujafika mahali popote ambapo hauwezi kusitishwa na kubadilishwa. Umefika hapa kwa sababu watu wamekubali kucompromise na uongo; wamekubali Rais afanye kitu asicho na madaraka nacho na wamekubali Bunge lipitishe sheria ya kitu ambacho halina uwezo nacho. That to me is the tragedy of immense proportion.
Muugwana, Safari_ni_Safari;
Hili ni baraza la kutunga sheria la yule mshirika wa Muungano au ni kikao cha kujadili sikukuu ya Eid Al Hadji wiki ijayo!!!
Nijuze Muugwana mwenzangu...
Una kumbukumbu fupi sana; nani alianzisha mchakato wa Katiba kama siyo Rais Kikwete?
This is interesting indeed!
Mchakato wa Katiba umeanzishwa na vuguvugu la kisiasa nchini ambalo liliwezesha kila mtu kutambua kuwa kuna haja ya kuwepo kwa katiba mpya. Alichokifanya Rais ni kukubali kusimamia mchakato huo, sio kuuanzisha.
Raisi hana madaraka ya kuanzisha mchakato wa katiba main topic ya thread hii, bunge pia aliwezi kwa madai yako aliyebaki na anaejua njia mbadala ni mwanakijiji mwenyewe yeye ndio much-know, mwee (in mwanakijiji's voice) hata sijui kwenye katiba mpya wewe kama mtanzania unataka nini zaidi ya fujo.
alamsiki me out.
Ok mkuu,na njia halali ya kukipata chombo halali ni ipi?shukran.
Ni kwamba umeshindwa kujibu swali. Move on bitch!
Ni ile iliyowekwa kihalali na vyom
bo halali. So far njia pekee halali ni ya kubadilisha Katiba ya sasa au orodha ya mambo ya Muungano vyote vimeelezwa ndani ya Katiba ya sasa Article 98. Kuandika Katiba Mpya hakuna utaratibu wa Kikatiba wametunga tu sheria isiyokubaliana na Katiba ya sasa.
Hili ni swali ambalo jibu lake liko wazi; kuwa Rais Kikwete hakuwa na madaraka hayo. Hata hivyo, wapo wanaoamini kuwa kwa vile Rais kaamua kufanya kitu basi kitu hicho ni halali.
Mimi na baadhi yetu tumekataa kuutambua mchakato huu wa Katiba Mpya kwa sababu ni haramu; haukuanzishwa na chommbo halali na hata hivi sasa matatito tunayoyaona na yatakayotokea mbeleni (kwenye Bunge la Katiba na Kura ya Maoni) itakuwa ni mwendelezo tu wa kosa hili kubwa.
HUU NI MCHAKATO HARAMU. Sikiliza HOJA MARIDHAWA
[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=115504&stc=1&d=1381127129[/JFMP3]
Oh boy; what kind of logic is this?
​Kwani CCM bara na visiwani hawakuliona hilo!? Tuseme JK ndiye Think tank wa CCM!?Upinzani tu usingekuwa sababu ya kufanya kitu kikubwa na nyeti hivi. Kumbuka alishinda na kuapa kulinda na kuhifadhi Katiba anayotaka kuibadilisha. Nafikiri factor ya Zanzibar ilikuwa msingi mkubwa wa mchakato huu. Zanzibar kwa Katiba yao walishakinzana na Katiba ya Muungano. Hakuna njia ingine isipokuwa kutengeneza Katiba mpya ili kuondoa msigano huu.
​Kwani CCM bara na visiwani hawakuliona hilo!? Tuseme JK ndiye Think tank wa CCM!?
Unaandika upya historia; soma tena hotuba yake ya kukaribisha mwaka mpya 2011. Usitengeneze historia mpya. Lakini upande mwingine unakataa huku unakubali.
​Hujaniuliza mimi, lakini naweza kujibu kuwa imo ndani ya manifesto za vyama vya upinzani na siyo ndani ya manifesto ya CCM!Simple question. Nikisema "Kimsingi katiba Mpya ni hoja ya wapinzani", nitakuwa nadanganya?
​Hujaniuliza mimi, lakini naweza kujibu kuwa imo ndani ya manifesto za vyama vya upinzani na siyo ndani ya manifesto ya CCM!
hahaha hii akili au matope
dk 9:04 unajichekesha unacheka mwenywe
neno haramu umerudia kama mara mia
hujanukuu hata kifungu kimoja cha katiba
this is ridiculous!
Eti katiba haina sehemu ya kubadilisha katiba bali kurekebisha
khaaaaa