Kikwete aonya Serikali kupuuza ushauri. Ataja madhara yake

Amekerwa sana na uwepo wa Makonda kwenye CC. Concern yake ni too personal.
Naweza kumwelewa JK, CC is supposed to be teamwork.
Makonda is uncontrollable, a stray missile.
Na kwamba alitumika na JPM basi also ni missile isiyo aminika.
Hatujasahau Makonda aliwahi kusema Riz anahusika na madawa ya kulevya!!
Tatizo JK ni mtu anakuambia kitu huku anacheka, lakini deep down tayari anafikiria next step.
 
Ngoja Tusubiri tuone !!
 
Ndio maana kuna umuhimu sana wa utawala wa kimajimbo, kutawanya risks na kupunguza ukali wa maumivu ya makosa ya watawala yanapofanyika.
Umenena. Kulundika kila kitu kwa mtu mmoja kama ilivyo sasa ni hatari mno na ndiyo maana kila siku kuna tatizo. BTW Kikwete kama aliyajua haya mbona hakufanya? Au alifanya yale aliyoona yeye yana faida kwake tu? Kwa mfano katiba mpya ni yeye aliikwamisha.
 
Who is he in this country? The dude is overrated.
 
Hahahah anamsema Samia kuhusu kumweka Makonda ukatibu propaganda na uenezi.
 
Kwani yeye na Membe hawakumtumia kumtukana Lowasa wakati wa kampeni za kusaka ugombea Urais ndani ya CCM mwaka 2015!!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Ushauri ni muhimu lakini wakati mwingine hata hai washauri nao hawajui, checks and balances ndio muhimu zaidi.
Na ushauri mzuri unaweza hata ukaupata kutoka kwenye viti virefu ukiwa na watu smart on the ground wenye uwezo wa kutambua watu wenye IQ kubwa !!
Sio kweli eti ushauri mzuri ni ule unaotolewa na watu wakubwa pekee !
Hiyo sio kweli !!
 
""Ukikosa ushauri mzuri ama ukipata ushauri mzuri ukaupuuza hii nchi itakwenda kusikotakiwa kwenda. Ndio maana makongamano haya ni muhimu sana unachota mawazo,” amesema""

Kwacheo alicho wahi kuwanacho hakuwa na haja ya kuongea maneno kama hayo apo juu.
Makonda alishasemajuzi wastaafu watulie sijui kwanini haeleweki.
 
Vijana wake washaanza kukandwa lazima apige yowe
 
Mkuu jitahidi tu uchangie sote tumechoka toka miaka ile hadi unatafuta ukweli juu ya ile saga ya Balali.

Movie za siasa za bongo zinachezwa kila siku humu na Africa siasa inalipa kuliko ujuzi /taaluma.


Siku tukibadili siasa ikawa utumishi tutafika mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…