Kikwete aonya Serikali kupuuza ushauri. Ataja madhara yake

Hatimae wameanza kumpotezea kiaina mpaka ameongea.
Yeye aliwahi kusema "ushauri si amri" tena leo imekuwaje?
 
Je wajua kama Maneno haya ya busara yanakuja tu ya Makonda kupewa marungu!? πŸ™‚
 
Ushauri mzuri upokelewe baada ya kupimwa. Mfano, Tume huru na Katiba mpya kabla ya uchaguzi ,ni jambo muhimu la kutekeleza haraka.

Lakini ushauri mbaya lazima upuuzwe, hata kama utatoka kwako mstaafu.
 
Mawazo ya kijuha na Sukuma Gang haya
 
Hii ni hotuba mojawapo ya kipekee kutoka kwa kiongozi wa CCM.

Na kufuatoa hotuba hii, viongozi waanze kusoma mtandao huu wa JamiiForums kila siku ili waweze kupata ushauri kama Mh. Jakaya Kikwete anavyoshauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…