Kikwete aonya Serikali kupuuza ushauri. Ataja madhara yake


ukitaka kupima uwezo wa raisi yoyote mstaafu Duniani angalia post presidency yake anafanya nini? Hata tu foundation ya kusaidia jamii hakuna, haandiki vitabu, hakuna chochote intelectually, I mean nothing, hilo peke yake linakwambia mengi sana, kila kukicha majungu tu …
 
Sema waliojengewa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Mzee Karume wale ndio waliasisi misingi ya taifa hili. Wengine tunatambua jitihada zao.
 
Ndio maana kuna umuhimu sana wa utawala wa kimajimbo, kutawanya risks na kupunguza ukali wa maumivu ya makosa ya watawala yanapofanyika.
Word...

Wahafidhina wanadai utaigawa nchi na kuleta mpasuko/ mgogoro wa ndani, huku wakitoa mfano wa Ethiopia, Nigeria n.k
 
Wivu na chuki zitakuua wewe hater.
 
Ukiwa CCM huwezi kuwa na uwezo Huo kwani wasio na uwezo ndiwo wanaotakiwa
 
Kikwete ndiye owner wa Tanzania
Hawezi kukaa kimya nchi ikiyumba

Sio nchi ikiyumba, sema mambo yake yakitaka kuyumbishwa na viongozi husika.

Uyo mzee na deal na donals na investers wa mataifa makubwa na hawezi kuacha wapitie mikono ya watu wengine maana hapo ndo ipo kula yake kwa kuwaguarantee usalama wao so ikitojea mtu anataka kumyanganyo iyo acces anakula nae sahani moja but sio sababu ya masirahi nchi ilo nakanusha.
 
URAIS uliishia kwa KIKWETE! Hawa wengine wanajaribu jaribu tu 🙏🏽 😂
 
Classic Kikwete 1.

Kikwete akiwa rais wa Tanzania alikaa kwenye panel katika mkutano wa kimataifa, alikuwa kakaa karibu na Bob Geldof. Bob Geldof ni mwanamuziki wa ki Irish aliyekuja kuwa mwanaharakati na kusaidia sana kuandaa kurekodi na kufanya concert ya "We Are The World" kuokoa watu kutoka njaa Ethiopia. So alikuwa anti povery activist.

Bob Geldof alimuuliza Kikwete swali moja dogo sana.

Aliuliza, kwa nini Tanzania ni masikini?

Kikwete akasema hajui kwa nini Tanzania ni masikini!

Nilisikitika sana. Huyu ni mtu aliyegombea urais wa hii nchi bila hata kuwa na jibu la swali hili.

Yani si kwamba hana utatuzi wa matatizo ya umasikini Tanzania, hajui hata sababu ya umasikini, na bila kujua sababu za tatizo, atatatua vipi tatizo?

Classic Kikwete 2.

Kikwete aliulizwa na muandishi wa Tanzania. Hii ni baada ya kustaafu. Kumbukumbu yake nzuuri kabisa kutoka urais wake ni ipi?

Akasema walikuwa wameenda kwenye mkutano Spain, akaona concert ya Michael Jackson, ile concert ndiyo ilikuwa kumbukumbu kubwa kabisa ya urais wake wote!

Nikasema sawasawa.

Kwa viongozi kama hawa, naweza kuelewa kwa nini Tanzania ipo katika lindi la umasikini.
 
Huyu mzee Rajabu ndie kamshauri amteue Makonda?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Makonda kafanya nini?
 
Ni vizuri ushauri ukapitia kwa wateule wa Rais walioteuliwa kwa kazi hizo ili ikiwezekana watafute majukwaa ya maoni na baadae yawasilishwe kunako husika.
Lakini pia ni vizuri ushauri uwe documented ili kama usipofanyiwa kazi Leo,vizazi vijavyo viweze kufanzia kazi.
Ikumbukwe kuwa ushauri kukubaliwa au kukataliwa hakuondoi dhima yake,na si lazima unaposhauliwa na kukubali ushauri ukaufanyia kazi hapo hapo.
 
Huyu mzee Rajabu ndie kamshauri amteue Makonda?
Wewe kujiaminisha huko CCM au serikalini, sijui Kinana na Chongolo wamekwazika kwa sababu ya uteuzi wa Makonda aina maana huo ndio uhalisia.

Mtu kama Chongolo ndio kwanza alikuwa akiwananga viongozi wa CCM Dar hadharani (clips zipo YouTube) kwa kukosa shukrani katika ziara yake na kujifanya kusahau mazuri ya Makonda aliyowafanyia wakati kawajengea majengo ya chama kwa jitihada zake pamoja na kuongeza ward kadhaa za wazazi ambazo hospitali zimefaidika.

Uteuzi wa Makonda, mimi na wewe strategically hatujui shabaha ya CCM; ila sio wa bahati mbaya.

Hata ukishinda hapa Makonda hivi Makonda vile hiyo teuzi aiwezi badilika wanajua wao wanakitaka nini kutoka kwa huyo mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…