Kikwete atetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

Yes, JK Yupo sahihi sana.
nadhan vibaka na matepeli wa siasa tu ndio leo wanaona sheria za uchuguzi ni mbaya mno, hasa baada ya kujikuta hawana ajira kwa muda mrefu sana na mambo yanawawia vigumu kufanya comeback πŸ’
Kibaya unajitengenezea wigo wa kutawaliwa wewe na kizazi chako chote,maana naamini hakuna mtoto au familia ya kiongozi ambao ni machawq
 
Kibaya unajitengenezea wigo wa kutawaliwa wewe na kizazi chako chote,maana naamini hakuna mtoto au familia ya kiongozi ambao ni machawq
mihemko, fikra na dhana potofu hufanya malofa wengi kua kwenye mode ya makasiriko tu na matokeo yake ni kutawaliwa kirahisi daima wakiwa na makasiriko yao πŸ’
 
Mpiga dili
 
mihemko, fikra na dhana potofu hufanya malofa wengi kua kwenye mode ya makasiriko tu na matokeo yake ni kutawaliwa kirahisi daima wakiwa na makasiriko yao πŸ’
Chawa mpumbavu tu wewe utaishia kulamba viatu vya watawala,na utakufa na kuzikwa na ujinga wako
 
Naomba mwanasheria.kabla sijaandika chochote
 
Huyu mzree aache kuumiza watanzania
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…