MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 5,995
- 8,799
Huyu yeye kashibaRais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?"
Ameyasema hayo leo Juni 21 katika ufungufu wa Kongamano la kitaifa la Sheria jijini Dar es Salaam.
View attachment 3377661
relax bas gentleaman,Chawa mpumbavu tu wewe utaishia kulamba viatu vya watawala,na utakufa na kuzikwa na ujinga wako
Ataacha huku wengi tumeumia snHataishi Milele. Ataviacha vyote
Huyu mzee mshenzi sana. Kama walifanya maboresho ikawaje kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka jana 2024 Novemba wagombea wa Chadema zaidi ya 12000 walienguliwa?Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?"
Ameyasema hayo leo Juni 21 katika ufungufu wa Kongamano la kitaifa la Sheria jijini Dar es Salaam.
View attachment 3377661
Pitiku ni nini???Ninyamaze mie, maana bado ugali na pitiku nataka sana tyuuh.
Ila wanatia hasira, bas tyuuh. Lol
Tena siku akiviacha vyote naomba raisi alieko madarakani awazilie kama walivofanya serikali ya Hechilema kwa Lungu, tuone hao wanafunzi na walimu wa kuwajaza mkapa kama watawapata, Maana sidhani kama Kuna mtu ataenda!Hataishi Milele. Ataviacha vyote
Pitiku ndio Nini? Msamiati mpya ndio Nini.Ninyamaze mie, maana bado ugali na pitiku nataka sana tyuuh.
Ila wanatia hasira, bas tyuuh. Lol
Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?"
Ameyasema hayo leo Juni 21 katika ufungufu wa Kongamano la kitaifa la Sheria jijini Dar es Salaam.
View attachment 3377661
PUBLIC BAR ASSOCIATION CHAMA CHA MAWAKILI WA SERIKALI MGENI RASMI RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE
View attachment 3377780
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali nchini, msomi Bavoo Junus, amesema kuwa Kongamano la Kitaifa la Sheria litafanyika kesho Jumamosi, Juni 21, 2025, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali amesema hayo leo Juni 20, 2025, jijini Dar es Salaam katika mkutano na waandishi wa habari, ambapo amesema kuwa mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, na kongamano hili linaandaliwa na Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (Public Bar Association).
“Moja kati ya malengo ya kuanzishwa kwa Chama cha Mawakili wa Serikali ni kuwaunganisha mawakili wa serikali wanaotoka katika maeneo mbalimbali, kuwaleta pamoja ili kuweza kujadili masuala mbalimbali yanayohusu sheria, lakini pia lengo lingine la msingi la kuanzishwa kwa chama ni kukifanya chama kiwe jukwaa la kutoa elimu na mafunzo kwa wananchi kwa sababu serikali inawajibika kwa wananchi, kwa maana hiyo sisi ni mawakili wa wananchi,” amesema Junus.
Aidha, ameongeza kuwa Chama cha Mawakili (Public Bar Association ) kina jukumu la kutoa elimu katika masuala mbalimbali ya kisheria, hususan katika mambo yanayogusa maslahi mapana ya taifa.
Sasa katika kutekeleza jukumu la kutoa elimu kwa umma, na kwa kuzingatia tunaenda katika uchaguzi mkuu, chama kimeandaa kongamano ambalo lengo lake kubwa ni kutoa elimu kwa wananchi
Waliomweka Lissu ndani sasa wameanza kujitokeza hadharani wenyewe. Kwa kauli yake hiyo huyu Mzee anahusika 100%Huyu babu alaaniwe yeye na uzao wake wote, amechangia pakubwa sn nchi yetu kuwa masikini na yeye na ukoo wake kuishi maisha ya anasa bila kujali masikini wa nchi hii.
Huyu ni zaidi ya muhuni.Kikwete hana hadhi tena ya mstaafu mwenye busara, ni mhuni kama wahuni wengine