Kikwete atetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

Aliyemtupa rafiki yake Mkubwa, Lowassa, baadaye akamengua kwenye majina waliotia nia, sijui kama hata kwenye msiba wake alienda, mtu huyu anaweza kuaminika? Anapenda sana kuwa yeye tu!
 
Jambo lina nishingaza nivile JK pamoja na kuwa mwana idara namba moja bado hii picha hajaisoma au ndio kaz yakina Mangonda kumpeleka Lowasa chadema? Well ngoja tukae kimya
 
Huyu mzee namuona ***** tu anakera sana
 
Huyu babu alaaniwe yeye na uzao wake wote, amechangia pakubwa sn nchi yetu kuwa masikini na yeye na ukoo wake kuishi maisha ya anasa bila kujali masikini wa nchi hii.
Kwa mtu wa pwani yeye akiwa mfalme au anaishi hivyo na nyinyi wengi wenu mpo chini yake, basi hayo ni Maendeleo ya nchi nzima
 
Mr. JK tuambie ukweli kama marekebisho yalifanyika tangu 2022 kwaniini wagombea wa upinzani Wakati wauchaguzi wa serikali za mitaa 2024 Wameenguliwa kinyemera
 
Yes, JK Yupo sahihi sana.
nadhan vibaka na matepeli wa siasa tu ndio leo wanaona sheria za uchuguzi ni mbaya mno, hasa baada ya kujikuta hawana ajira kwa muda mrefu sana na mambo yanawawia vigumu kufanya comeback 🐒
 
Hana Akili.
 
Huyu mzee anaendelea kunajisi tanganyika kwa nongwa ya fedha na madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…