Eulogy inaongelea kuhusu uongozi wake na marehemu anatajwa kama anecdote on his story it’s all about J.K and how he handled the loliondo saga...
Bro as long as we were formed miraculously in our mother's womb and we die without arguing as the date has already been determined, the only thing they can achieve is pain and killing you. In time they'll follow suit, that's the beauty of God.Mjomba hawa watu wapambe wao wanamipaka yao ya uvumilivu tunapowakosoa.
Vinginevyo wakiamua kukuumiza ni dakika moja tu.
Tuwe makini na kauli zetu tunapowananga.
Bila alishughulika sana ku RIP, maana si kwa bifu hili. Hadi kwa marehemu anapiga mawe!Mzee anaendelea kupiga mawe tu...
That's the beauty of life and God's might, just 3 words,. "Thou shalt die" anavyokufa masikini wa mwisho duniani ndio anavyokufa tajiri number Moja duniani, pumvi inatoka, mengine ni mbwembwe zetu wanadamu,.Hata yeye ipo siku atalamba ardhi asijifanye ana bima ya uhai
Kilatha una point hapa, ila usiwe na hofu kiasi hicho.Mjomba hawa watu wapambe wao wanamipaka yao ya uvumilivu tunapowakosoa.
Vinginevyo wakiamua kukuumiza ni dakika moja tu.
Tuwe makini na kauli zetu tunapowananga.
Matter of fact hiyo ndio niliyo sikiliza kuhitimisha the man has narcissistic traits.
Shida ya wazee wetu hawa nikukosa uzalendo tu,. Wana ukwasi wa kutisha but it seems hawaliziki, huwa hawaumii kuona mamillion ya watu ni masikini? Wanaishi nyumba za tope? They're illiterate? Mzee Huwa inaniuma sana kuona waafrika ndio specie pekee duniani tunaishi maisha ya ajabu ukitoa hao wazungu weusi wachache kina JK, ilifikia sehemu niliamua kusoma papers nyingi sana kuhusu brain science,Sometimes change require a catalyst and we can do without J.K influence in our politics.
You can’t teach an old dog new tricks.
Agenda ni kumtoa huyu babu kwenye siasa ni tatizo.
Kilatha una point hapa, ila usiwe na hofu kiasi hicho.
Katika kutafuta haki/hali bora kimaisha ni aina fulani ya vita.
Vita kuna watakaoumia au hata kufa ili lengo lifanikiwe.
Maybe bicoz of kauli za 'wastaafu wengine wanawashwawashwa'Huyu 'cheka cheka' anaonesha alikuwa na bifu kali sana na Magu.
Hata haamini kwamba ameshafunga kauli na hawezi kujitetea tena.
Ujinga tu kwa nini asizungumzie walio hai tu! Familia ya Magufuli inajisikiaje?
Swali lako hili naweza andika hapa paper ya pages 100 just to give you a scientific perspective as to why? Ila ntakujibu kwa ufupi, kuwa na akili nyingi haina maana unatoka kwenye umasikini automatically, there are lot of smart people, maybe geniuses, wapo wanaendesha bodaboda, wanabeba mizigo just bcz hawakupata nafasi to demonstrate their potential including quality education, hata kama wazazi wako wote ni rocket scientists, and you're genetically advantaged (assortative mating) utahitaji kusoma na kwenda shule ili uwe kama wazazi wako or even better.Mbona uko kwa Wahaya na mwambao wa ziwa kumejaa umaskini wa kutopea?!
Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo ...
Wewe uliye hai ndio tunakusema!
Ruksa. Uzuri situmii uhai wangu kuwazuia msiniseme. Hivyo nisemeni tu,maneno yenu yatakuwa kioo cha kunisaidia mimi kujitazama uso wangu ili kujua kama nina tongotongo au la.Wewe uliye hai ndio tunakusema!
Shida hao waliopumzika udongoni wakiwa hai walimpiga pini asiwaseme. Binadamu ukimbana asifanye jambo fulani siku akipata mwanya ndio kama hivi. Ni kama mtoto aliyekulia kwenye 'mageti' makubwa kwa miaka kadhaa,siku akipata mwanya anafanya mambo kwa uhuru ili kufidia.Anazeeka vibaya, hana mengine ya msingi ya kuongea ameamua kuwakejeli waliopumzika udongoni kweli!!!
Aisee binafsi nimejifunza jambo kubwa sana. Kuishi na watu siyo kuishi na mifugo.Kama Yule alikuwa kiongozi wa Ujerumani, kalala pia lakini haachwi mkiambiwa mtendee watu mema mnadharau mkijiona wajuaji.