StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
AnafidiaJk kwa sasa anaonekana sana kwenye media.
Sijui kuna jambo gani nyuma ya pazia.
Hahahahaaaaa. Tatizo JK huwa anaongea kwa mafumbo kwa hiyo hata kama anaongea jambo straight watu tunaamini hapa kamaanisha vile sio hivi.JK hajamsema marehemu. Nyinyi humu ndio mnamsema marehemu. Yeye kaongelea lililokuwa baraza lake la mawaziri.
Hili ni muhimu sana. Mwenye masikio na asikie.Ndio tujitahidi kuishi na watu vizuri hata tukiondoka tukumbukwe kwa wema...
Swali baab kubwa sana hili. Siti ya mbele...Hivi Kuna anayejua ni kwa nini JK alianzisha ule mchakato wa katiba mpya? Maana wala haikuwa kwenye ilani wala mipango yao, nini kilimsukuma hasa?
Hahahahaaaaa. Maandiko gani hayo?Mungu mwema na yeye siasa za 2025 hatashuhudia hadi uchaguzi maandiko yanasema bado bendera iko nusu mlingoti
Hahahahaaaaa. Ndio 'raha yako' au siyo?Hata akifa lkn kikubwa jiwe katangulia
Hivi jiwe kumbe alikuwa 'mbaya' kiasi hiki?Hata akifa lkn kikubwa jiwe katangulia
Uliwapima?Wengi waliokimbilia kikombe cha babu walikuwa na HIV
Shika adabu yako.Kwa kweli kipindi chake jk alikuwa hajisikii amani kabisa Mana alikuwa anapondwa kwenye majukwaa, kanisani na misikitini. Kila akiinua kinywa tu jk analo. Mpaka akagikia hatua ya kumwambia anawashwa washwa.
Mwache na yeye apondwe Mana ndo alivhoasisi. Zaidi ya hapo yeye ndo alikuwa mpondaji mkuu. Sijui ulikuwa ushamba wa madaraka au uwezo mdogo. Kwanza lini mwalimu akawa na uwezo wa kuongoza watu
Hahahaaaaa. Na kweli hata hapa nilipo wapo hivyo.Watu wa Pwani wanapenda sana mafumbo mafumbo, ila nawaambia hivii, fumbo mfumbie mjinga mwenzako
Kauli za 'wastaafu wengine wanawashwawashwa' mchezo?. Anafidia.Mnafki tu huyu Mzee. Mtu tayari ameshafariki na hawezi kujitetea, yeye bado anaendelea kumpiga majungu na fitna zisizokwisha. Kwa nini asimzungumze wakati ule akiwa hai? Dadeki.
Angeacha wamsagie kunguni akiwa hai. Yeye aliminya watu wasimseme ili agundue nini?Anasagiwa sana kunguni mzee wa watu
Akifa hataacha vimelea?Wamekufa marais wote wa zamani isipokuwa Mwinyi(ambae hana tatizo) na Kikwete, Siku ambayo Kikwete atakufa ndio siku ambayo Tz itazaliwa upya maana kila atakeingia pale atakuwa na uhuru wa kutekeleza matakwa yake bila kuathiriwa na team zilizoacha na mtangulizi.
Nimemlenga Kikwete kwakua ndiye pekee asitetaka kuamini, kuwa yeye sio Rais tena.
Kufa kwa Kikwete ndio mwanzo mzuri wa Tz.
Aliyekuwa waziri wa kutengeneza barabara ni nani?Mbona amewataja mawaziri kama wanne hivi, wewe umehisi ni jiwe tu ndiyo anaefitiniwa hapo?
Itafutika kadiri watu wanavyojua ukweli. Legasi inayopandwa kimaigizo mara mabulungutu ya hela barabarani,mara kuozesha kwa kuku haina maisha marefu. Njia ya mwongo ni fupi.Ile legacy haifutiki leo mzee , alikuwa na mabaya yake lakini katika science ya kuteka mioyo ya watu alikuwa fundi na hata wewe unajua.
Ndiomaana hata baada ya yeye kufariki ni mwaka mmoja sasa unaelekea lakini bado hawaamini, wanang'ang'ana kuaminisha watu vinginevyo.
Anaongea kwa mafumbo kwani tuko kwenye darasa la methali na nahauHahahahaaaaa. Tatizo JK huwa anaongea kwa mafumbo kwa hiyo hata kama anaongea jambo straight watu tunaamini hapa kamaanisha vile sio hivi.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Ndio utamaduni wao huku,mimi mwenyewe wazawa huwa wananisema sana kimafumbo. HahahaaaaaAnaongea kwa mafumbo kwani tuko kwenye darasa la methali na nahau
Sio inaishi kichwa chake..yeye ndo anaongoza nchi hii mpaka sasa.utake usitake. He is the King maker and King unmaker. He is the King himself!!!Ameacha urais kwa kutoka Ikulu tu, lakini hiyo nafasi bado inaishi ndani ya kichwa chake kila unapomsikiliza.
Alijaribu kufifisha Legasi za wenzake ili kuestablish Legasi yake,sasa wenye Legasi zao wanazifufua kibabe.Ni kumtwanga tu marehemu huko aliko mpaka anyooke! Unapigwa juu na chini [emoji1]