Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Nadhani mleta mada ameghafilika
John malecela aliwahi kuwa waziri mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
John Malecela sio tu alikuwa PM, wakati huo Rais akitoka Z'bar, Waziri Mkuu alikuwa pia ni makamu wa kwanza wa Rais.

Hivyo John Malecela alikuwa na kofia mbili kwa wakati mmoja sio sawa na alivyo Majaliwa yeye ni waziri mkuu tu, Malecela alikuwa PM na Makamu wa kwanza wa Rais, kwa maana nyingine, kama mzee ruksa yangempata yaliyomtokea JPM, basi John Malecela angekuwa immediate successor in the line of power
 
Hii ilikuja baada ya mabadiliko ya 13 ya katiba yetu ya 1977 mkuu
 
Your analysis is absolutely correct, huyu mzee kuna namna anawish aje tawazwa kuwa baba wa taifa msaidizi maana sio bure
 
Hii ilikuja baada ya mabadiliko ya 13 ya katiba yetu ya 1977 mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hii katiba ina viraka vingi sana.

Maana ni katiba hii ya mwaka 1977, ilifanyiwa amendment ili kuanzia 1995 Rais agombee na mgombea mwenza (running mate) kama US. Na bila shaka walifanya hivi ilikitokea Rais wa JMT katokea chama A na Zenji CUF ilikuwa na nguvu sana, basi Rais wa Zenji asiwe VP by default na ndio Zenji Rais wao akawa sio makamu wa Pili wa Rais kama Rais katokea Zenji.

Kiukweli hii katiba ya 1977 imeshonwa sana, ni vema ile rasimu ya Warioba ingesongeshwa; ila sasa ndio hivyo. Walioanzisha mchakato hawakuwa na nia ya kweli ya kutupa katiba.

Walitaka katiba iwe kick ya mpito ili muda wao wa kuondoka madarakani uende huko focus ya watu ikiwa katiba mpya.

Tanzania ni zaidi ya tujuavyo.
 
Natamani tuendelee na mjadala lakini tutaharibu mada ya watu
Kama una muda lete Uzi wa hili swala tupeana ujuzi na uzoefu mkuu
 
Anazeeka vibaya, hana mengine ya msingi ya kuongea ameamua kuwakejeli waliopumzika udongoni kweli!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…