johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa! Umenikumbusha askofu Mdegela wa Iringa!Ameacha uraisi kwa kutoka ikulu tu, lakini hiyo nafasi bado inaishi ndani ya kichwa chake kila unapomsikiliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa! Umenikumbusha askofu Mdegela wa Iringa!Ameacha uraisi kwa kutoka ikulu tu, lakini hiyo nafasi bado inaishi ndani ya kichwa chake kila unapomsikiliza.
Ila yeye alivyowachapa wenzie viboko kwa maneno na vitendo alikuwa na urafiki wa kweli?Mzee wa watu kalala ila bado anachapwa viboko vya maneno kutoka kwa watesi wake, hakika hakuna rafiki wa kweli duniani.
Mzee wa watu kalala ila bado anachapwa viboko vya maneno kutoka kwa watesi wake, hakika hakuna rafiki wa kweli duniani.
John Malecela sio tu alikuwa PM, wakati huo Rais akitoka Z'bar, Waziri Mkuu alikuwa pia ni makamu wa kwanza wa Rais.Nadhani mleta mada ameghafilika
John malecela aliwahi kuwa waziri mkuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hii ilikuja baada ya mabadiliko ya 13 ya katiba yetu ya 1977 mkuuJohn Malecela sio tu alikuwa PM, wakati huo Rais akitoka Z'bar, Waziri Mkuu alikuwa pia ni makamu wa kwanza wa Rais.
Hivyo John Malecela alikuwa na kofia mbili kwa wakati mmoja sio sawa na alivyo Majaliwa yeye ni waziri mkuu tu, Malecela alikuwa PM na Makamu wa kwanza wa Rais, kwa maana nyingine, kama mzee ruksa yangempata yaliyomtokea JPM, basi John Malecela angekuwa immediate successor in the line of power
Your analysis is absolutely correct, huyu mzee kuna namna anawish aje tawazwa kuwa baba wa taifa msaidizi maana sio bureEulogy inaongelea kuhusu uongozi wake na marehemu anatajwa kama anecdote on his story it’s all about J.K and how he handled the loliondo saga.
Naanza kuona traits of narcissism kwake ni umuhimu wa J.K kwenye ili taifa auna kifani as far as he is concerned kama wananchi amjajua bado.
Ni sawa na Mwamunyange pamoja na wastaafu wengine wa vyombo vya ulinzi kila mara kutukumbusha wao walikuwa na majukumu gani, wana siri zipi za nchi, namna walivyotulinda, wanavyoijua mipaka, security threats walizokutana nazo kutoka ndani na nje ya nchi ambazo bila ya weredi wao taifa lingetumbukia pabaya. Halafu at the end of the day waamini hakuna mtu anaeweza hiyo kazi zaidi yao, ivyo ni jukumu lao kuwasimanga watu kama hakina Mabeyo kwa sababu at one point walikuwa chini yao as far as they understand huko jeshini ni wao tu walikuwa trained kuongoza taasisi za ulinzi.
Huyo ndio J.K ukimsikiliza it’s been seven years lakini anaongea kama kaondoka jana tu, mzee Shein mwaka mmoja tu ukimya wake unaonyesha kuna change of administration Zanzibar.
Mzee wa msoga it’s me me me, sorry to say this ila ndio ukweli kuna elements of narcissism may be a psychological intervention is needed.
Hii katiba ina viraka vingi sana.Hii ilikuja baada ya mabadiliko ya 13 ya katiba yetu ya 1977 mkuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Natamani tuendelee na mjadala lakini tutaharibu mada ya watuHii katiba ina viraka vingi sana.
Maana ni katiba hii ya mwaka 1977, ilifanyiwa amendment ili kuanzia 1995 Rais agombee na mgombea mwenza (running mate) kama US. Na bila shaka walifanya hivi ilikitokea Rais wa JMT katokea chama A na Zenji CUF ilikuwa na nguvu sana, basi Rais wa Zenji asiwe VP by default na ndio Zenji Rais wao akawa sio makamu wa Pili wa Rais kama Rais katokea Zenji.
Kiukweli hii katiba ya 1977 imeshonwa sana, ni vema ile rasimu ya Warioba ingesongeshwa; ila sasa ndio hivyo. Walioanzisha mchakato hawakuwa na nia ya kweli ya kutupa katiba.
Walitaka katiba iwe kick ya mpito ili muda wao wa kuondoka madarakani uende huko focus ya watu ikiwa katiba mpya.
Tanzania ni zaidi ya tujuavyo.
Anazeeka vibaya, hana mengine ya msingi ya kuongea ameamua kuwakejeli waliopumzika udongoni kweli!!!Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR.Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza barabara.
Na ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa katika jamii ya kitanzania wapo wanaoamini kuwa kama mganga akimwambia anakuloga huamini moja kwa moja na akiambiwa kuwa ameoteshwa na kitu chochote huamini hivyo hivyo.
Aidha hiki ni kipande cha clip alichosema msibani hapo.
Kwani ile kazi ya kusimamia malaika aliyoomba hakupewa hadi useme kuwa tumuache apumzike?Mwacheni apumzike!
Kama Yule alikuwa kiongozi wa Ujerumani, kalala pia lakini haachwi mkiambiwa mtendee watu mema mnadharau mkijiona wajuaji.Mzee wa watu kalala ila bado anachapwa viboko vya maneno kutoka kwa watesi wake, hakika hakuna rafiki wa kweli duniani.
Wakati jiwe anawakandia wenzake hadharani mbona hamkusema hayaJK hajafanya vizuri. Mambo kama hayo ni ya kusema na kuposti mitandao ya jamii na ID fake.
Kufitiniwa kivipi? Kwani hawakwenda hao mawaziri kwa babu wa Loliondo?Mbona amewataja mawaziri kama wanne hivi, wewe umehisi ni jiwe tu ndiyo anaefitiniwa hapo?