Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Huyu 'cheka cheka' anaonesha alikuwa na bifu kali sana na Magu.
Hata haamini kwamba ameshafunga kauli na hawezi kujitetea tena.
Ukiwa umeacha amali nzuri huku duniani, ukiwa umeacha hadithi nzuri ya maisha yako huku duniani basi utakuwa hadithi nzuri, na amali nzuri zitakusemea pale ambapo hautakuwa na uwezo wa kusema... (Mzee Ruksa, 2021)
 
Kumsema marehemu ni vibaya sana.
Naomba niishie hapo.
 
Hivi Kuna anayejua ni kwa nini JK alianzisha ule mchakato wa katiba mpya? Maana wala haikuwa kwenye ilani wala mipango yao, nini kilimsukuma hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…