bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Tangu kilipoanza kikombe nadhani mwaka 2011, Waziri wa Ujenzi alikuwa mmoja tu?Kwenye hii clip hapo juu, umesikia akiwataja mawaziri wanne? are you sure? Kataja waziri wa ujenzi, waziri wake mwngine yupi alomtaja hapo juu?
Maiti hasemwi.Angeyasema hayo wakati JPM yupo hai.Kwa nini aogope?Of course yeye hapaswi kumuogopa JPM.Acha apige kwa sababu na yeye pia aliwahi kuambiwa anawashwawashwa...
Hata siku ya msiba alijiongeresha sana subiri mda utaongea atakufa tu kama wengine! Fisadi huyo!Anapenda kujiongelesha sana na hii ni dhambi ya ubaya aliyofanya Kwa mwenzie Kwa kushirikiana na janabi wanajua nini kinawatokea huko walipo
Hata siku ya msiba alijiongeresha sana subiri mda utaongea atakufa tu kama wengine! Fisadi huyoAnapenda kujiongelesha sana na hii ni dhambi ya ubaya aliyofanya Kwa mwenzie Kwa kushirikiana na janabi wanajua nini kinawatokea huko walipo
sawa, thanks.Hiyo clip mleta mada kaamuaa kuikata kwa sababu zake binafsi..ila original clip kikwete amesikika akiwataja mawaziri wengine akiwemo na Lukuvi
Hata wewe utakufa...hakuna abakiyae hapa duniani.Hata siku ya msiba alijiongeresha sana subiri mda utaongea atakufa tu kama wengine! Fisadi huyo
Huyu 'cheka cheka' anaonesha alikuwa na bifu kali sana na Magu.
Hata haamini kwamba ameshafunga kauli na hawezi kujitetea tena.
Kwani amechoka na nini?Mwacheni apumzike!
John Pombe MgangaJohn Pombe
wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza barabara.
I guess by saying "Nobody" unamaanisha wewe na mamako. Usituweke kwenye group la wajinga wenzio.Kikwete analazimisha heshima lkn no body respects him !
I guess by saying "Nobody" unamaanisha wewe na mamako. Usituweke kwenye group la wajinga wenzio.
Mie namheshimu kila mtu kwa nafasi yake Ila naweza kuwa na msimamo tofauti nae.
Mimi pia kikwete hata afanye nini ni mhuni tu na mnafiki mkubwa. No respect to him.I guess by saying "Nobody" unamaanisha wewe na mamako. Usituweke kwenye group la wajinga wenzio.
Mie namheshimu kila mtu kwa nafasi yake Ila naweza kuwa na msimamo tofauti nae.
Ndio ujinga wa hawa watu na tymeshawajua wacha "wademke" ameikata video apate tageti ya asiyempenda hali kuwa tuna clip nzima. Wanatumia muda wao kupambana na marehemu wanasahau 2025 mgombea ni mwingine na wala hawatumii muda uliobaki kijiandaa. Wakipigwa utasikia TUMEIBIWA.Mbona amewataja mawaziri kama wanne hivi, wewe umehisi ni jiwe tu ndiyo anaefitiniwa hapo?
Mkuu utata ulikuwa kwenye corona ama ule ugonjwa mwingine? nadhani unaitwa ZAKI. Wajuvi ebu tukumbusheni.Naomba Uzi huu mode usiuunganishe na Uzi nyingine na usiufute tafadhali.
Nianze kwa ombi kwa wale wote mlio kuwa hammpendi mwendazake kwa jinsi alivyotutawala kimsingi tupo tulio elewa na kupenda stail yake,mathalani ya kurudisha nidhamu kwa watumishi,jinsi alivyotuamasisha kulipa Kodi kama hiyo haitoshi tulipenda alivyogeuza matajiri kuishi kama mashetani kwa kutoandolea mambo ya sijui unajijua Mimi hunijui...