Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Acha apige kwa sababu na yeye pia aliwahi kuambiwa anawashwawashwa...
Maiti hasemwi.Angeyasema hayo wakati JPM yupo hai.Kwa nini aogope?Of course yeye hapaswi kumuogopa JPM.

This is nonsense yani mnamponda mtu ambaye hawezi jitetea? Africa, stupid Africa!!
 
Anapenda kujiongelesha sana na hii ni dhambi ya ubaya aliyofanya Kwa mwenzie Kwa kushirikiana na janabi wanajua nini kinawatokea huko walipo
Hata siku ya msiba alijiongeresha sana subiri mda utaongea atakufa tu kama wengine! Fisadi huyo!
 
Anapenda kujiongelesha sana na hii ni dhambi ya ubaya aliyofanya Kwa mwenzie Kwa kushirikiana na janabi wanajua nini kinawatokea huko walipo
Hata siku ya msiba alijiongeresha sana subiri mda utaongea atakufa tu kama wengine! Fisadi huyo
 
Naomba Uzi huu mode usiuunganishe na Uzi nyingine na usiufute tafadhali.

Nianze kwa ombi kwa wale wote mlio kuwa hammpendi mwendazake kwa jinsi alivyotutawala kimsingi tupo tulio elewa na kupenda stail yake,mathalani ya kurudisha nidhamu kwa watumishi,jinsi alivyotuamasisha kulipa Kodi kama hiyo haitoshi tulipenda alivyogeuza matajiri kuishi kama mashetani kwa kutoandolea mambo ya sijui unajijua Mimi hunijui.......

Kimsingi yote haya muasisi wake alikuwa ni jakaya na wenzake, mambo ya mishahara hewa watumishi hewa yote haya mwendazake alipambana Nazo.

Leo hii hivi kulikuwa na uhusiano gani wa kikombe Cha Babu na mazishi ya mtoto wa malichela?

Wenye Akili tumekuelewa hapo ulikuwa una maana yakuwa mtoto wa malichela Alimashauri Magufuli yakuwa tuna corona na Ili kujikinga tuvae Barakoa kutoka ulaya Magufuli akakataa akasema hata chupi za wake zetu tunaweza zigeuza Barakoa nalo likapita.

Mtoto huyo huyo akasema nchini corona ipo, tuweke Watanzania lock down Magufuli akamwambia lockdown ya ............ Badae akasema hakuna lockdown hakuna lolote bushit akakataaa.

Huyu akashauri Mh Raisi ruhusu chanjo kutoka njeagufuli akasema Mimi naomba Watanzania tusali tukasal yaliyojili Kila mtanzania anajua.

Nani leo hii atakuelewa yakuwa magu alishauliwa alafu akaishia kwa waganga wa Kienyeji?

Kimsingi sisi wasio pendwa magu Jiwe liguswe tunaumia mwacheni alale.kama ni motoni aungue kama ni mbinguni achunge Malaika.
 
Mwiba huingia haraka mguuni uukanyagapo. Kutoka ni shida, hadi miguno na vilio. Mzoee kukumbushwa ujinga tuliopitishwa awali ili asitokee mwehu mwingine wa kutukanyagisha miiba.
 
Kikwete analazimisha heshima lkn no body respects him !
 
wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza barabara.
 
I guess by saying "Nobody" unamaanisha wewe na mamako. Usituweke kwenye group la wajinga wenzio.

Mie namheshimu kila mtu kwa nafasi yake Ila naweza kuwa na msimamo tofauti nae.

Labda mnafanana ndo maana!
 
I guess by saying "Nobody" unamaanisha wewe na mamako. Usituweke kwenye group la wajinga wenzio.

Mie namheshimu kila mtu kwa nafasi yake Ila naweza kuwa na msimamo tofauti nae.
Mimi pia kikwete hata afanye nini ni mhuni tu na mnafiki mkubwa. No respect to him.
 
Mbona amewataja mawaziri kama wanne hivi, wewe umehisi ni jiwe tu ndiyo anaefitiniwa hapo?
Ndio ujinga wa hawa watu na tymeshawajua wacha "wademke" ameikata video apate tageti ya asiyempenda hali kuwa tuna clip nzima. Wanatumia muda wao kupambana na marehemu wanasahau 2025 mgombea ni mwingine na wala hawatumii muda uliobaki kijiandaa. Wakipigwa utasikia TUMEIBIWA.
 
Naomba Uzi huu mode usiuunganishe na Uzi nyingine na usiufute tafadhali.

Nianze kwa ombi kwa wale wote mlio kuwa hammpendi mwendazake kwa jinsi alivyotutawala kimsingi tupo tulio elewa na kupenda stail yake,mathalani ya kurudisha nidhamu kwa watumishi,jinsi alivyotuamasisha kulipa Kodi kama hiyo haitoshi tulipenda alivyogeuza matajiri kuishi kama mashetani kwa kutoandolea mambo ya sijui unajijua Mimi hunijui...
Mkuu utata ulikuwa kwenye corona ama ule ugonjwa mwingine? nadhani unaitwa ZAKI. Wajuvi ebu tukumbusheni.
 
Back
Top Bottom