Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

Labda na wewe mnafanana na yule bedui ndio maana unapaniki Kama jamaa yako mzee wa kubwatuka.

Kwa nini wewe na Mzee wako mko obssesed sana na Magu (RIP) aliwakosea nini ? Mbona yeye wala hakuwa na time na ninyi atleast sikumsikia isitoshe alishafariki hata sisi Waswahili kwetu mtu akishafariki huwa hata kabla ya kuzika tunauliza kama kuna mtu alikuwa na shida na marehemu aseme tufunge ukurasa, hata kama aliwakosea si mmeshamshinda ameenda bado mnataka nini ? Kama ni nchi kawaachia kila kitu, bado nini ?
 
Huyu 'cheka cheka' anaonesha alikuwa na bifu kali sana na Magu.

Hata haamini kwamba ameshafunga kauli na hawezi kujitetea tena.
Sio kweli, mleta mada ni mchonganishi tu.. Sikiliza hotuba nzima iko youtube.
 
Jitu likiwa PUNGUANI likifa lazima lisemwe tu.
Akauwa , kutesa na kupoteza wengi sana yule acha asemwe!
Unajua mafukara huwa mna mentality za kijinga sana, ukishamsema unapata nini? Au itabadilisha nini??

Unawezaje kuona kufa kwa mtu kama adhabu ya matendo yake mabaya ikiwa hata wewe utakufa pamoja na matendo yako mazuri? Tena si ajabu labda yule mzee kaishi miaka mingi kuliko hata utakayoishi wewe.

Yeye kafa na mabaya yake, wewe pia utakufa na mazuri yako yani wote mtakufa, tofauti ni kwamba wewe utakufa kibudu.
 
Na nyie kwa nini mpo obsessed na mfu? Aliwapa nini mpaka mnamlilia? Au ndio wanyonge mliokuwa mnapewa vya bure?

Maisha hayapo hivyo pambaneni acheni kuwa ombaomba mafala kabisa.
 
Heshima yako mzee
 
Siyo narcissism tu na psychopathy pia, lkn hakuna mtu ana time naye !
Mjomba hawa watu wapambe wao wanamipaka yao ya uvumilivu tunapowakosoa.

Vinginevyo wakiamua kukuumiza ni dakika moja tu.

Tuwe makini na kauli zetu tunapowananga.
 
Mzee wa msoga it’s me me me, sorry to say this ila ndio ukweli kuna elements of narcissism may be a psychological intervention is neede

Anafanya hivyo kwasababu anajua kuwa yeye ndio aliyeshika usukani wa Utawala uliopo!! Enzi ya Jiwe uliwahi kumsikia hata siku moja anabweka?
 
N suala la muda TU

Kuna siku atajikuta ameropoka mbele ya kadamnas kuwa n yeye aliyefanikisha kumtanguliza bwana konyagi mbatizaji

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu 'cheka cheka' anaonesha alikuwa na bifu kali sana na Magu.

Hata haamini kwamba ameshafunga kauli na hawezi kujitetea tena.
Sasa hapo angejitetea nini.

Yaan nyie mtengeneza mabifu akilini kweny kisha muwape wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…