Corona ilipokuja Dr. Mwele tayari alikuwa WHO. Ule ugonjwa ni zika sio Zaki.Mkuu utata ulikuwa kwenye corona ama ule ugonjwa mwingine? nadhani unaitwa ZAKI. Wajuvi ebu tukumbusheni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Corona ilipokuja Dr. Mwele tayari alikuwa WHO. Ule ugonjwa ni zika sio Zaki.Mkuu utata ulikuwa kwenye corona ama ule ugonjwa mwingine? nadhani unaitwa ZAKI. Wajuvi ebu tukumbusheni.
Labda na wewe mnafanana na yule bedui ndio maana unapaniki Kama jamaa yako mzee wa kubwatuka.Labda mnafanana ndo maana!
The choice is yours dunia imejaa fursa .Mimi pia kikwete hata afanye nini ni mhuni tu na mnafiki mkubwa. No respect to him.
Labda na wewe mnafanana na yule bedui ndio maana unapaniki Kama jamaa yako mzee wa kubwatuka.
Acha ramliMungu mwema na yeye siasa za 2025 hatashuhudia hadi uchaguzi maandiko yanasema bado bendera iko nusu mlingoti
Word...Huyu 'cheka cheka' anaonesha alikuwa na bifu kali sana na Magu.
Hata haamini kwamba ameshafunga kauli na hawezi kujitetea tena.
Sio kweli, mleta mada ni mchonganishi tu.. Sikiliza hotuba nzima iko youtube.Huyu 'cheka cheka' anaonesha alikuwa na bifu kali sana na Magu.
Hata haamini kwamba ameshafunga kauli na hawezi kujitetea tena.
Na leo atarara saa naneYule hawezi kupumzika maana anakazi huko ya kuongoza au umesahau? Sasa hivi ana mafaili lundo
Unajua mafukara huwa mna mentality za kijinga sana, ukishamsema unapata nini? Au itabadilisha nini??Jitu likiwa PUNGUANI likifa lazima lisemwe tu.
Akauwa , kutesa na kupoteza wengi sana yule acha asemwe!
Na nyie kwa nini mpo obsessed na mfu? Aliwapa nini mpaka mnamlilia? Au ndio wanyonge mliokuwa mnapewa vya bure?Kwa nini wewe na Mzee wako mko obssesed sana na Magu (RIP) aliwakosea nini ? Mbona yeye wala hakuwa na time na ninyi atleast sikumsikia isitoshe alishafariki hata sisi Waswahili kwetu mtu akishafariki huwa hata kabla ya kuzika tunauliza kama kuna mtu alikuwa na shida na marehemu aseme tufunge ukurasa, hata kama aliwakosea si mmeshamshinda ameenda bado mnataka nini ? Kama ni nchi kawaachia kila kitu, bado nini ?
KabisaWacha achapwe tuu alikosea mengi kuliko aliyopatia
Point yake ni ile ya kusingizia tunajenga barabara huku,kumbe kaenda kugonga "kikombe".Si hata yeye alikunywa! Au imekuwaje tena
Heshima yako mzeeRais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza barabara...
Muacheni bamdogoMbona amewataja mawaziri kama wanne hivi, wewe umehisi ni jiwe tu ndiyo anaefitiniwa hapo?
Mjomba hawa watu wapambe wao wanamipaka yao ya uvumilivu tunapowakosoa.Siyo narcissism tu na psychopathy pia, lkn hakuna mtu ana time naye !
Mzee wa msoga it’s me me me, sorry to say this ila ndio ukweli kuna elements of narcissism may be a psychological intervention is neede
Unasatahili NobelView attachment 2126981
uongozi tulionao sasa, kwenye media tunaona anamchoma na kisu kumbe anakimbia asichomwe na kisu.
tunaona tunaongozwa na gauni kumbe ni kanzu.
Sasa hapo angejitetea nini.Huyu 'cheka cheka' anaonesha alikuwa na bifu kali sana na Magu.
Hata haamini kwamba ameshafunga kauli na hawezi kujitetea tena.