Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

kama Rostam unamtaja kuwa ni mtu mwenye akili nyingi kiasi hicho basi awe Rais wetu wa Tanzania 2015 bila shaka unachanganya akili nyingi na ujanjaujanja unaopata kinga ya fedha alizonazo mtu kutekeleza malengo yake.

Kama anawazidi wa wale watawala, and they have nothing to do about him, ni kwlei ana akili.
probaby, hatuhitaji mtu mwenye akili kuwa rais, waacha wajinga waongoze, na mwenye akili atakuwa juu yao
 
Tanzania is the 3rd leading recipient of development AID in the world behind Afghanistan and Iraq. Top Donor in development AID to Tanzania is the US. The difference is both Afghanistan and Iraq has had wars. Tanzania, a peaceful country has had no wars, yet receives development AID. AND continues to be a poor country. Tanzania is also 3rd leading Gold producer in the Africa, yet remains poor.
(Barrick Gold, the top producer of Gold in the world.)

In 2002, there was a report conducted by a research group, the African International Group of Political Risk Analysis, stating that there was conspiracy and money laundering engineered by most of the Tanzanian ministries: Finance, the AG's chambers, the Bank of Tanzania and the police. The research was aimed at gathering information on money laundering and corruption in the SADC region.

Some findings in the report:
1) Money laundering in Tanzania as being through corruption and tax exemptions
2) Foreign exchange control is another means of money laundering
3) Religious denominations, informal lending organizations, and forex bureaus are conduits for money laundering in TZ

Why would the past president and the current one run on an anti-corruption platform and yet DO nothing to combat corruption in the nation?

(sry to post this in this thread, but hope there is some connection)
 

Tutayajua mengi, Mtoa mada bravo!
 
Leo mnatuambia eti fisadi Rostam Azizi ni CIA kwa maana ya agent kwa hiyo siku hizi CIA wanakumbatia mafisadi?

What kind of question is this? If you are from the TISS (as your threads lead us to believe), I thought you know better than this?
 
Tom Apson si mtumishi wa Idara ya Usalama wa Taifa haingii akilini kwamba angejua mambo ya msingi kupitia kwa baba yake eti tu kwa sababu ni mtoto wa aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Idara hiyo ndugu Apson. Tuwe makini na maneno ya mitaani

vipi kuhusu Ridhiwani hawezi jua mambo mengi kama mtoto wa raisi?
 
Mkuu The Romantic........

.......Bado nakumbuka yale maandishi yako kuhusu yule jamaa aliyetoa stori akiwa amelewa............lol!
 

Romanticand others: why do not you give us the TRUE VERSION OF SUCH STORIES kuliko kuwashambulia watu wanaoleta thread kama hizi? why? what is stoping you? Information is power na nyinyi mna kila information sources, why do nit come out with the truth mkapunguza fears za watu?
 

Sawa, sasa ku proove yuko wrong mshughulikieni tuone.., maneno matupu hayavunji mfupa.
 

Sawa tumesikia yaote, haya kamateni RA basi ili tuone kama kweli hii thread ni ya uongo na uzushi.
 

Why fear? Atleast trust yourself thats enough to keep you out of unnecessary worries! Watanzania bana hadithi za sungura na paka kama vile tunaakili sana kihivyo; kama tunazo mbona hatuoni ubunifu wowote zaidi ya wizi na ujanja? People are dying of hunger watu wako wanaongelea hadithi mchana..hadithi zinasimuliwaga usiku watu wakimaliza kufanya kazi...
 
Hii ni tamthilia za kina Kanumba saizi imefika part 2.

Ni nzuri kuna mipasho,udaku,na umbeya..mie nasubiri mpaka ifike part 6 ndio tainunua.

Umenena, tumekusikia Mkulu. Ngoja nitafute mabandiko ya FF, Rejao, na Topical.
 

Hii nasikia ni kweli na wakati ule SHIMBO alipokutwa na TRILIONI KADHAA nasikia alipoona KIKWETE hataki kumchukulia hatua SHEMEJI yake jamaa alienda kwao na alisusa kila kitu na amini usiamini NCHI hali ilikuwa tete na ni mwezi uliopita tu STAND BY imeisha kwani jamaa haeleweki na wana JERSHI wana muunga mkono na ku mkubali sana MWAMUNYANGE.
 

kwa jinsi anavyoandika hasa ukiwa ulianza kuisoma ile thadhari aliyoileta hapa kumpa membe awe careful,huyu ni msomali wa nzega!najua aina ya uandishi na maneno anayopenda kuyatumia!
 
Reactions: Ame

unaonekana una una chuki na huyo jamaa na habari zako ni kutunga tunga na mambo yako ni ya karne ya 47 dunia ya sasa ni mambo ya tec ya kisasa marekani wanakufanyia uchunguzi wala hawana haja ya kuja bongo vitu vyote wamefiseti bro watakuja igunga hata barabara hakuna wewe vipi huna jipya andika mambo ambayo jamii ya kitanzania tunayahitaji tufannye nini ili tuwapate wenzetu huduma za afya uwizi wa mali za umma mahakama zetuzinawahukumu machinga haziwahukumu viongozi wala ruswa karibu 98 serikali haifanyi vitu vya maana kuanzia serikalini mpaka mitaani kila mtu tanzania ni wa kulaamu wacha tabia ya vitina sema mambo ya kusaidia taifa kama ni msemaji wacha majungu sio vizuri unajipa mkosi hata maisha yako ya kila siku ninakusubiri uje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…