Kikwete: Kwanza wachawi walishakufa

Kikwete: Kwanza wachawi walishakufa

Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka;

"...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu.

Je, ni nani hao wachawi wafu aliomaanisha Kikwete?

Mama JANETH MAGUFULI ENDELEA KUWA NA MOYO MAMA.

Mchawi anaemsema ni E.N.L
 
Tukose Wote Episode ya 1 - Yawezekana huwa wanajua kabla ya kuzaliwa nisijisumbue
Screenshot_2025-01-20-00-32-05-36.png
 
Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka;

"...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu.

Je, ni nani hao wachawi wafu aliomaanisha Kikwete?

Mama JANETH MAGUFULI ENDELEA KUWA NA MOYO MAMA.

Nyerere, Mkapa na Magufuli.
 
Back
Top Bottom