Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Safi sana. Hizi data wazione walilia legacy
 
Fuatilia tofauti ya African union waliokuwa wanaigombania Nyerere na Nkuruma na huo umoja wa Afrika aliokuwa anaupambania ghadafi. Fuatilia misaada mingi aliyokuwa anatoa kwa nchi za kiafrika mingi ilikuwa inalenga kwenye nini?
Umenikumbusha msikiti wa Ghaddafi huko Dodoma.
 
Sasa kama hawakupitia kwenye changamoto ulitaka adanganye
Yaani wanajisahaulisha, JPM kaingia bungeni in 1995, na wakati huo tayari JK na Ben walikuwa wameshaanza kufahamiana kitambo sana!

Nakumbuka hata msiba wa Baba yake Ben, ulisimamiwa na JK enzi hizo Ben akiwa Canada! Yaani wakati JPM yupo Mwanza kabla hajaingia kwenye siasa, tayari JK alikuwa anakufahamu hadi kijijini kwa Ben.
Tena za mjini zenyewe kama ni za Dar es salaam, yeyote ambae angeingia madarakani 2015 angejenga unless kama angekuwa mwendawazimu.

Angejenga kwa sababu barabara zote zilizojengwa Dar from 2016 zipo chini ya mradi wa Dar es salaam Metropolitan Dev Project... mradi ambao ulifadhiliwa na Bank ya Dunia na pesa ilitoka May 2015.

DMDP ndo imejenga barabara na miundombinu yake pamoja na masoko ya Kisutu, Magomeni, na Kijichi.

Wanadanganyana kwamba hata flyovers ni JPM wakati Flyovers zipo chini ya Mradi wa BRT ambao na wenyewe JPM aliukuta.
 
Siyo lazima uandike kila linalokujia kichwani! Jambo usilolijua ni kwamba
Huyo magufuli wenu hajawahi kuwa n cheo chocolate ndani ya chama mpaka alipochaguliwa kuwa mgombea uraisi na baadae mwenyekiti wa chama
Kikwete na membe walikuwa second or third generation ya nyerere. Walikuwa wana siasa!
 
Hivi mtu anawezaje kuwa na urafiki na bwana yule?
Iddi Amini Dada alikuwa na marafiki wengi na wakubwa hadi wakampeleka Saudia akapewa kila kitu hadi alipokufa, sema kingine binti yangu!.
 
Kwani katiba inasemaje kuhusu ilo?
Tuanzie hapo kwanza
 
Sasa huyo umsemaye alikuwa na lipi la maana zaidi ya kutonesha makovu ya CDM na Makamu Mwenyekiti?
 
Wivu wa kike unakusumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…