Kikwete mbona Magufuli alipofariki dunia hukumuelezea kirefu kama kwa Membe?

Sasa kama hawakupitia kwenye changamoto ulitaka adanganye
 
Unapaswa kushangaa kwamba JPM hakuwa rafiki wa JK lakini JK alimpa u waziri na baadaye kuruhusu hata awe rais! Kama Kikwete ana chuki na JPM basi kosa ni la JPM sio la JK. Unaelewa?
 
Kwa hiyo JPM hakuwahi kufanya vitendo vyenye viashiria vya ufisadi?

Yeye hakuwa fisadi?

Mbona waliingilia Uhuru wa CAG na kumsakama mpaka kuondolewa kabla ?

Acheni kujichanganya wenyewe.
Nendeni mkazike mzoga wenu
 
Kule uarabuni kwenye Arab spring nako walimtimua, alikuwa anataka eti awatawale, ikaabidi aelekeze nguvu Afrika akazuga anataka umoja wa Afrika kumbe ya kidini. Aliwachanguwa maafisa masoko wengi Afrika wa hoja za oic na mahakama ya kafhi
Sijakuelewa mkuu kuhusu kuwachagia maafisa masoko wengi IOC na mahakama za kadhi
 

Quoted from Gentamycin"Hata hivyo Pole sana Kaka Mtu JMK," unquote.
Duh!Kumbe ni kaka mtu,siri imefichuka.Hii inatuhakikishia👇

Quoted from Gentamycin kama alivyosema Kikwete kwenye msiba wa Marehemu Membe.

"Mimi na Marehemu Membe kwa nyakati tofauti tulipitia Changamoto (Misukosuko) ya Kimaisha ila tukapeana moyo," unquote.
 
Malaika wako wa Chato alimuwajibisha nani? Hizo report za CAG za leo huo wizi ndo ulifanyika enzi zake. Yeye ndiye aliyeanzisha style mpya za upigaji. Malaika wa chato hakuwa muadilifu hata kwenye mambo ya kijamii. Aagh, muache tu aendelee kuongoza Malaika huko aliko.
 
Kule uarabuni kwenye Arab spring nako walimtimua, alikuwa anataka eti awatawale, ikaabidi aelekeze nguvu Afrika akazuga anataka umoja wa Afrika kumbe ya kidini. Aliwachanguwa maafisa masoko wengi Afrika wa hoja za oic na mahakama ya kafhi
Kwani ina maana gadafi alitaka kuleta huku afrika arab,nazation na sio umoja wa afrika???
 
Mkuu swali lako limekaa kisomi zaidi......Sijui kama utajibiwa
 
Wewe ulishindwa nini kumwelezea kwa kirefu yule shetani muhutu mwenzio!
 
Mpumbavu nao ni kipaji! Ushetani wa yule muhutu nani anautaka tena!
 
Comments nyingi hapa zimejawa na uteam na FaizaFoxy yeye ni udini.

Kufuatilia mijadala ya siasa za bongo inataka ujitoe akili kwanza uwe na tabia ya uchawa kwenye mijadala. Huu ni ujinga!
 
Urafiki haulazimishwi Membe amekuwa bestfriend wa Kikwete toka 1990's.

Magufuli hakuwa rafiki yake Kikwete alikuwa mwanasiasa mwenzake tu

JPM hata hakuwa mwanasiasa alikuwa anaitwa bulldozer..!! Sasa dunia ya leo bulldozer ataelewana na nani? Bulldozer ni jina lingine la dictator wa kisasa.
 
Hakumfahamu zaidi ya alivyomfahamu Mh Benard.
 
Kama Iddi Amini alikua ni Mtu mwema,Nini chanzo cha Vita ya Kagera!!? Unataka kusema Nyerere ndiyo hakua Mtu mwema hadi akamvamia Amini na kumchapa!!?
Suala la Idd Amini ni gumu sana!!

Anyway, kwamba alikuwa mwema, HAKUWA NA WEMA HUO!! Iddi Amini alikuwa muuaji, PERIOD!! Hana tofauti na Madikteta wengine wengi duniani! Hata hivyo, cha ajabu hata Uganda kwenyewe kuna watu wengi sana ambao wanaona Iddi Amin ni National Hero!

Niliwahi kusoma makala moja ya France24 ambayo walienda Uganda kutengeneza documentary kuhusu 40 Years After Iddi Amin!

France24 wenyewe wanasema walishangaa sana kukuta watu wana mitazamo tofauti! In short, ni Wazee ndio wanamuona Iddi Amin alikuwa mtu mbaya lakini asilimia kubwa ya vijana, Amin kwao ni National Hero!

Tukirudi kwenye Vita ya Kagera... ukweli usemwe, na mara nyingi nimesema kuhusu hilo! Ile vita tulijitakia wenyewe kwa sababu Mwalimu ALIMCHOKOZA KICHAA!!

Sitaeleza kwa undani kwa sababu hapa sio pahala pake!

REMEMBER: Iddi Amin alimpindua Milton Obotte. Mwalimu Nyerere na Obotte walikuwa MARAFIKI WAKUBWA, kwahiyo Mwalimu akampa Obotte hifadhi ya muda jijini Dar es salaam.

Mwalimu hakufanya kosa kumpa Obotte hifadhi. Baada ya Obotte kuja Tanzania, maelfu ya Wafuasi wake nao wakavuka mpaka na kuingia Tanzania.

Alipokuja kukosea Mwalimu ni kuwapeleka Wafuasi wa Obotte kwenye Kambi ya JKT, Handeni. Kule wale Wafuasi wakaanza kuchukua mafunzo ya kijeshi ili baadae warudi Uganda kumpindua Amin.

Hiyo ilikuwa ni Covert Op iliyokuwa inafadhiliwa na Serikali ya Tanzania, na kweli, mwaka 1971, wale wa Wafuasi wa Obotte wakaondoka TZ hadi Uganda kufanya jaribio la kumpindua Obotte!

Sijui hawakuchanga karata zao vema, jaribio lao dhidi ya Amin lika-fail na wakachakazwa vibaya sana. Wale waliobaki, wakakimbia na kuvuka mpaka tena hadi Tanzania kujiandaa na jaribio lingine.

Hapo ndipo ulipoanza uadui kati ya Mwalimu na Iddi Amini! So, can you blame him?! Ni rais gani anaweza kui-entertain jirani anayefadhili covert op dhidi yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…