Kikwete ni mmoja ya Marais ambao miaka Ijayo watoto wetu watatushangaa sana kuwa ilikuaje....

Mimi namlaumu kikwete kwa kumleta Jiwe

Sio Kweli JIWE alipata URAIS by default; hakuwa chaguo la Kikwete!! Kikwete aliweka kete zake kwa Membe, Asha Rose Mtengeti na January. Lowassa alimzidi Kete kwa wafuasi wake kumuunga mkono Jiwe!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo halikuwa kwa kikwete,tatizo lilikuwa kwa wale waliokuwa wanajiita wazee wa ccm,ndo walimshitua kwamba atakiua chama
 
Umesahau wafanyakazi hewa elfu 16....
 
Umesahau wafanyakazi hewa elfu 16....
Tungeamini kulikuwa na wafanyakazi hewa endapo kungekuwa na replacement za hao hewa. Vinginevyo ni misifa ya Jiwe. Kwanini haku replace kwa ajili ya efficiency ya kazi na kutoa ajira kwa wananchi, Kama walikuwepo hawazidi 100. Sana sana alitumia nafasi hizo kuingiza ndugu zake. Hapo tusichanganye hewa na vyeti feki.
 
Haiwezekanai Kikwete asiwe na Nyumba yake mwenyewe pale Dodoma. Mkewe anakaa kwenye nyumba yao akiwa bungeni!
Nimewaza mambo mengiiiii nikaishia kujihurumia tu! Hii familia kwa namna mambo yanavyoenda( siasa za tz) hata wajukuu wa riz1 watakuwa na uwezo wa mali kunipita mimi.
 
Nimewaza mambo mengiiiii nikaishia kujihurumia tu! Hii familia kwa namna mambo yanavyoenda( siasa za tz) hata wajukuu wa riz1 watakuwa na uwezo wa mali kunipita mimi

Uwe na Amani, tu hawawezi kuwa na Furaha na Amani kwa hela ya wizi hata ikiwa inawaliwa na wajukuu zao!!
 
Kikwete ni mtu mwenye akili kuliko wote Tanzania
 
JK yawezekana alikuwa na nia nzuri ya kutupa katiba mpya,lakini alituacha kwenye mataa.

Sababu zilizomsukuma atugeuzie kibao hatujui,japo wengine wanasema ni vigogo ndani ya chama chake wasiotaka mabadiliko.
Na wengine walidai alitaka Membe awe ndio mrithi wake,kwa kutumia katiba mpya ingekuwa vigumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…