GE2025 Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Ni muhuni tu.

Yeye mbona alikuwa mpinzani, Shibuda mpaka wakamfanyia zengwe wakamtimua Chama.

Magufuli alikuwa na mpinzani pia ambaye ni Membe. Wakampiga zengwe wakamtimua chama.

Yeye ndiye atakuwa amesahau au hamnazo.
 
Hii nchi ni ya ******* na raia wake % kubwa ni wapumbavu ndo maana viongozi wanajiamin kias hiki.
 
Mbona hajafafanua kuhusu ,je oil ilitakiwa imwagwe ,mama muda wake vipi? Mbona waziri mkuu na makamu wameachia ngazi?
 
Kwani aliruhusu maswali?
 
Ila huyu mzee 😹
Bora angenyamaza tu..!!
Wacha tumsubiri Polepole amjibu.
Polepole ndio alivyotaka kuwa mtu mzito wa ccm aingie anga zake ili ajibizane nae ;
Sasa Huyu mzee wa kikwere kajitumbuliza tuone jinsi Mheshimiwa Balozi atakavyomjibu!
 
Hata Mimi ningejizima tu data kama huyo Mzee!

Mke na mtoto wamepitishwa ubunge huku Mzee Pinda na Yusuph wa kwao wameliwa vichwa!!
Mtoto wa Wasira pia wa Lowasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…