Daah kwamba akishika mic anasema tumuunge mkono , akishuka anachukua simu anaingia jamii forum anaanza kulalamika , maji , umeme 😁😁😁😁 hii nchi shida ni unafiki wa wananchi wenyeweKwani kuna nini huko?
Hii ni 2022 haijafika hata 2024, kinacho nishangaza ni kila anaesimama anatulazimisha tumuunge mkono rais Samia. Nabaki najiuliza, kuna nini kwani?
Kuna kitu hakiko sawa huko?
Afu mtu anatulazimisha tumuunge mkono afu akiachia mice anakuja kulalamika kama sisi tu huku kisa maji hakuna, pesa ngumu kupatikana, umeme hakuna. Hakuna matumaini lambda toka kwa Mungu.
Afu mwananchi wa kawaida hapewi hata nafasi ya kuelezea changamoto zao..ni mapambio mwanzo mwisho.
Nazani mnamtngenezea mazingira magumu Samia 2025..mnamficha ukweli.
Kwani wao wamesahau niniNitasahau nini mkuu?
Mkuu ngoja tukuunge mkono wewe ,mambo yanaweza badilikaKwani kuna nini huko?
Hii ni 2022 haijafika hata 2024, kinacho nishangaza ni kila anaesimama anatulazimisha tumuunge mkono rais Samia. Nabaki najiuliza, kuna nini kwani?
Kuna kitu hakiko sawa huko?
Afu mtu anatulazimisha tumuunge mkono afu akiachia mice anakuja kulalamika kama sisi tu huku kisa maji hakuna, pesa ngumu kupatikana, umeme hakuna. Hakuna matumaini lambda toka kwa Mungu.
Afu mwananchi wa kawaida hapewi hata nafasi ya kuelezea changamoto zao..ni mapambio mwanzo mwisho.
Nazani mnamutengenezea mazingira magumu Samia 2025..mnamficha ukweli.
Hii inawezekana kwa watu wenye akili fupi tu kama vijana wa ccm, chama kama CDM wana kawaida ya kuhoji sana!Ushaambiwa unga mkono fanya ulichoambiwa. We unga tu mkono kwani utakufa ukiunga mkono. We sema ndio tu mengije mbele kwa mbele
Ukweli upi wanaouficha? Unga mkoko au acha hulazimishwi na mtu.Kwani kuna nini huko?
Hii ni 2022 haijafika hata 2024, kinacho nishangaza ni kila anaesimama anatulazimisha tumuunge mkono rais Samia. Nabaki najiuliza, kuna nini kwani?
Kuna kitu hakiko sawa huko?
Afu mtu anatulazimisha tumuunge mkono afu akiachia mice anakuja kulalamika kama sisi tu huku kisa maji hakuna, pesa ngumu kupatikana, umeme hakuna. Hakuna matumaini lambda toka kwa Mungu.
Afu mwananchi wa kawaida hapewi hata nafasi ya kuelezea changamoto zao..ni mapambio mwanzo mwisho.
Nazani mnamutengenezea mazingira magumu Samia 2025..mnamficha ukweli.
Nini maana ya kuwa na wawakilishi? Hata hivyo akiwa na mda hutoa fursa hiyo niliona Mbeya na Njombe so usiropoke hovyo.Mkuu kwani umevulugwa na nini?
Muwe mnatupatia na sisi wananchi tumweleze mama. sio mda wote mnampamba tu mama huku tunaumia.
Ndiyo maana CDM imebeba falsafa ya Nguvu ya umma. Silaha ya mwananchi ni hoja na si vinginevyo.Hii inawezekana kwa watu wenye akili fupi tu kama vijana wa ccm, chama kama CDM wana kawaida ya kuhoji sana!