JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Kwani kuna nini huko?
Hii ni 2022 haijafika hata 2024, kinacho nishangaza ni kila anaesimama anatulazimisha tumuunge mkono rais Samia. Nabaki najiuliza, kuna nini kwani?
Kuna kitu hakiko sawa huko?
Halafu mtu anatulazimisha tumuunge mkono halafu akiachia mic anakuja kulalamika kama sisi tu huku kisa maji hakuna, pesa ngumu kupatikana, umeme hakuna. Hakuna matumaini lambda toka kwa Mungu.
Mwananchi wa kawaida hapewi hata nafasi ya kuelezea changamoto zao ni mapambio mwanzo mwisho.
Nazani mnamutengenezea mazingira magumu Samia 2025.
Mnamficha ukweli.