Kila anaepewa nafasi anatulazimisha tumuunge mkono Rais Samia

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Kwani kuna nini huko?

Hii ni 2022 haijafika hata 2024, kinacho nishangaza ni kila anaesimama anatulazimisha tumuunge mkono rais Samia. Nabaki najiuliza, kuna nini kwani?

Kuna kitu hakiko sawa huko?

Halafu mtu anatulazimisha tumuunge mkono halafu akiachia mic anakuja kulalamika kama sisi tu huku kisa maji hakuna, pesa ngumu kupatikana, umeme hakuna. Hakuna matumaini lambda toka kwa Mungu.

Mwananchi wa kawaida hapewi hata nafasi ya kuelezea changamoto zao ni mapambio mwanzo mwisho.

Nazani mnamutengenezea mazingira magumu Samia 2025.

Mnamficha ukweli.
 
Kwani kuna nini huko?

Hii ni 2022 haijafika hata 2024, kinacho nishangaza ni kila anaesimama anatulazimisha tumuunge mkono rais Samia. Nabaki najiuliza, kuna nini kwani?

Kuna kitu hakiko sawa huko?

Afu mtu anatulazimisha tumuunge mkono afu akiachia mice anakuja kulalamika kama sisi tu huku kisa maji hakuna, pesa ngumu kupatikana, umeme hakuna. Hakuna matumaini lambda toka kwa Mungu.

Afu mwananchi wa kawaida hapewi hata nafasi ya kuelezea changamoto zao..ni mapambio mwanzo mwisho.
Nazani mnamtngenezea mazingira magumu Samia 2025..mnamficha ukweli.
Daah kwamba akishika mic anasema tumuunge mkono , akishuka anachukua simu anaingia jamii forum anaanza kulalamika , maji , umeme 😁😁😁😁 hii nchi shida ni unafiki wa wananchi wenyewe
 
Ushaambiwa unga mkono fanya ulichoambiwa. We unga tu mkono kwani utakufa ukiunga mkono. We sema ndio tu mengije mbele kwa mbele
 
Kwani kuna nini huko?

Hii ni 2022 haijafika hata 2024, kinacho nishangaza ni kila anaesimama anatulazimisha tumuunge mkono rais Samia. Nabaki najiuliza, kuna nini kwani?

Kuna kitu hakiko sawa huko?

Afu mtu anatulazimisha tumuunge mkono afu akiachia mice anakuja kulalamika kama sisi tu huku kisa maji hakuna, pesa ngumu kupatikana, umeme hakuna. Hakuna matumaini lambda toka kwa Mungu.

Afu mwananchi wa kawaida hapewi hata nafasi ya kuelezea changamoto zao..ni mapambio mwanzo mwisho.
Nazani mnamutengenezea mazingira magumu Samia 2025..mnamficha ukweli.
Mkuu ngoja tukuunge mkono wewe ,mambo yanaweza badilika
 
Ushaambiwa unga mkono fanya ulichoambiwa. We unga tu mkono kwani utakufa ukiunga mkono. We sema ndio tu mengije mbele kwa mbele
Hii inawezekana kwa watu wenye akili fupi tu kama vijana wa ccm, chama kama CDM wana kawaida ya kuhoji sana!
 
Kwani kuna nini huko?

Hii ni 2022 haijafika hata 2024, kinacho nishangaza ni kila anaesimama anatulazimisha tumuunge mkono rais Samia. Nabaki najiuliza, kuna nini kwani?

Kuna kitu hakiko sawa huko?

Afu mtu anatulazimisha tumuunge mkono afu akiachia mice anakuja kulalamika kama sisi tu huku kisa maji hakuna, pesa ngumu kupatikana, umeme hakuna. Hakuna matumaini lambda toka kwa Mungu.

Afu mwananchi wa kawaida hapewi hata nafasi ya kuelezea changamoto zao..ni mapambio mwanzo mwisho.
Nazani mnamutengenezea mazingira magumu Samia 2025..mnamficha ukweli.
Ukweli upi wanaouficha? Unga mkoko au acha hulazimishwi na mtu.
 
Mkuu kwani umevulugwa na nini?

Muwe mnatupatia na sisi wananchi tumweleze mama. sio mda wote mnampamba tu mama huku tunaumia.
Nini maana ya kuwa na wawakilishi? Hata hivyo akiwa na mda hutoa fursa hiyo niliona Mbeya na Njombe so usiropoke hovyo.
 
Hii inawezekana kwa watu wenye akili fupi tu kama vijana wa ccm, chama kama CDM wana kawaida ya kuhoji sana!
Ndiyo maana CDM imebeba falsafa ya Nguvu ya umma. Silaha ya mwananchi ni hoja na si vinginevyo.
 
Back
Top Bottom