The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kuna Point hapaUkifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabiakia kikatiba na kichama.
Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.
Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini?
wasichague wasiyo na matokeo Tata?
Hebu waJaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
Unajua matokea ya MWIGULU darasani? Ni kipanga hamna mfanoHapana tu Jaribu vipanga labda watakuja na solution
Nafikiri Kuna shida kwenye katiba yetu ambayo inawapa mamlaka hao makajanja na kuwanyima nafasi wenye div one . Rejea issue ya vyeti feki.Shida ni kubwa sana. Hapa nashangaa sana kwamba hata hao wawakilishi wetu zaidi ya 360 hakuna hata mmoja aliyeshindwa kung'amua mtego huu. Au kuna kitu wamelishwa na kimepoteza ufahamu wao. Wakiongea wanaongea kwa woga na tahadhari kubwa sana. Unyonge wa hivi ni hatari kubwa sana. Kwakweli tumuombe Mwenyezi Mungu aingilie kati.
Ina bidii cv zao zishushwe hapa ili tujue aina ya viongozi tuliokuwa nao au tunao wachagua. Iran la kwanza mbunge awe graduate. Sasa sijui kama huko Kuna vyeti feki na kubebwa au kuiba mitihaniHakuna bunge pale, spika ndo kabisaa, alinishangaza sana akiona wapinzani waliohoji aliwabana sana, wabunge wengine km Nape badala ya kuchangia content akawa anamshambulia mbowe sijui alitajwa ndani ya mkataba? Mwingine wa Tarime ndo hovyo kabisa yaani debe tupu
Kwani kwa mtu mweusi wenye elimu wanathaminiwa mawazo yao? Nani ana division one na nani hana? ebu twambie walioko ofisini ni nani ana division one hiyo unayosema hapa na nani hana?Ukifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabiakia kikatiba na kichama.
Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.
Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?
Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
Nina matokeo yake Mimi kilaza bin wahediUnajua matokea ya MWIGULU darasani? Ni kipanga hamna mfano
Ndio maana anaongea pumbaMh Kishimba kasema wafunzeni watoto wenu kukitafuta hela sio kutafuta elimu tu halafu unaenda kuajiliwa na waliotafuta hela.
Warabu wanajua kutafuta hela.
Mtoa mada kama div one ingekuwa ndio uwezo wa kutafuta hela basi bandari wangeuziwa wenye div one maana wana hela kakini hawezi kununua hata basi la Yutong.
acheni udwanzi nyie ni wazi nyie mnaopinga dp hamjijuiUkifuatulia vizuri mjadala huu wachangiaji wenye Ushawishi na waidhinishaji wa mkataba huu wenye Ushawishi. Ukiacha wateuliwa wanaoshabiakia kikatiba na kichama.
Wengi wao Hawana hata division one kwenye matokeo ya form four.
Kwanini hata wizara ya Fedha wakachukuana wale wale wenye matokeo Tata. Kwanini wasichague wasiyo na matokeo Tata?
Hebu wa Jaribu hata faraja Kotta Uwaziri wa Fedha tuone.
Waweke na matokeo kila somoIna bidii cv zao zishushwe hapa ili tujue aina ya viongozi tuliokuwa nao au tunao wachagua. Iran la kwanza mbunge awe graduate. Sasa sijui kama huko Kuna vyeti feki na kubebwa au kuiba mitihani
Kipanga huku kutwa anatafuta ajiraUnaongelea vipanga? Yule Waziri wa fedha huwa anajisifu kila siku ni kipanga!
Una division ngapi kwanza halafu sisi mambo bado yapo kichwani nije pm na kuuliza swali la form ni jibu kwa sekunde mojaacheni udwanzi nyie ni wazi nyie mnaopinga dp hamjijui
Hi nchi imeja wezi na matapeli hamna mtu atakae soma alafu aje kutumikia raia bila kupewa rushwa au kuiba, hatuwezi kuendesha vitu vyetu wenyewe tulusha shindwa kila sector inapwaya kwanini? Wizi kutokua waminifu acheni bandari iendeshwe na wstaalamu serikale ipate faifaYaani ujue hata mkataba sijauona nilipata ganzi. Kwanza sheria ya PPP inamatatizo makubwa sana. Haipaswi kuwepo. Tatu hakuna uwekezaji pale TPA zaidi ya kununua vifaa vya kupakua. Kina tumeongeza tayari, upanuzi wa gate. Cha ajabu ni Pesa kidogo Tshs Trillion Moja tu kwa mkataba mrefu. Ambapo Tanzania inaweza kuwekeza hiyo pesa. Mimi nadhani Tanzania ingepeleka watu wake DP world kujifunza baada tukaweka hiyo hela hapo. Nchi haiwezi kujenga Reli ikashindwa kujenga Bandari. Ni mwendawazi tu anaweza kukubali.
Elimu zingine rahisi sana huku. Ukifeli we fala. Kitu form four ndio cheyewe. Una utoto kichwani kubarehe na kila kitu kipya. Ukivuka na matokeo mazuri. Huwezi kuingia mkataba huuHivi one ya form four ina nguvu kuliko taaluma ya fedha waliosoma viongozi? Yaani unahusudu one ya masomo ya sekondari badala ya taaluma.
Yani mwenye div 2/3 na PhD ya finance ni duni kuliko mwenye one ya form four asie na hio taaluma ya fedha.
Labda mwizi mwenye division ataiba kiakili si kwa kuuza bandariHi nchi imeja wezi na matapeli hamna mtu atakae soma alafu aje kutumikia raia bila kupewa rushwa au kuiba, hatuwezi kuendesha vitu vyetu wenyewe tulusha shindwa kila sector inapwaya kwanini? Wizi kutokua waminifu acheni bandari iendeshwe na wstaalamu serikale ipate faifa
Mzee wa "kwa masilahi mapana" kalipuka mapema, inaonekana kapu kaishia kuliona tuuu, lilikopelekwa hajui, kama lipo lakini.. 🔥Kumekucha!
Kapu kuuza nchi ni uzwazwa Kuna vitu vya kuuza si Bandari. Mwendawazimu pekee ndio anawezaMzee wa "kwa masilahi mapana" kalipuka mapema, inaonekana kapu kaishia kuliona tuuu, lilikopelekwa hajui, kama lipo lakini.. 🔥