Kila anayeshabikia mkataba huu hana hata division one ndiyo maana hatuelewani

Watu weusi mnamatatizo hizo one za kukariri kiima na kiarifu na colonial economy zinaweza badilisha Nini Katika matokeo?
Mkuu elimu ya zamani ukiwa na Div One form four basi uko vizuri upstairs na huu ni ukweli. Maana mbio za ushindi huo huanza mtu akiwa form one consistently anapiga maksi A hadi mtihani wa taifa. Na akili hiyo huhamia kwenye maisha ya kawaida na uchambuzi wa issue mbalimbali. Hata kazini wenye div one utawaona tu huwa hawakurupuki wakiongea kuwapinga inahitaji kazi kubwa Huwa wamefikiria kabla ya kusema na huongea kwa hoja nzito.

Tukitafuta wabunge wenye div one tutahangaika sana wengi mjengoni ni vilaza na ndio watunga sera zinazoididimiza nchi ya Tanzania kwenye umaskini. Tunaamini wengi wao wataenda Jehannam kwa kuonea wanyonge na kufilisi kwa ubadhirifu Mali za umma. Siku zenyewe ni chache miaka 70 ikizidi 80 mwili wa kujisifia mitaani na mashangingi ya kifisadi unakuwa ni Mali ya wadudu funza. Huu ni ukweli mchungu!

DP World ni wanyonyaji kama kina Carl Peters na Seyyid Said, hatuwataki Bara waende Zenji. Magu asingekubali ujinga wa grade one kama huu. Kama ni lazima kuwa na DP World nashauri mkataba ufumuliwe, mawakili kumi wa upinzani wawe kwenye kamati na Mkataba uwekwe wazi , upigiwe kura za maoni ya wananchi na uwekwe vifungu vya kutanguliza maslahi ya nchi mbele. Mavuno iwe 50/50 na tuanze kugawana pesa Day One sababu Bandari ni Mali ya nchi si ya sirikali.

Kama Mkataba ni mzuri mbona Zenji hawamo? Bora hata mchina au mzungu kuliko waarabu, hawa jamaa ni wabaguzi namba moja duniani na hata watumwa waliwahasi!

Mama tunakupenda ila Katika hili la Bandari hatuko nawe.
 
Hata Sasa hivi Sema Sasa hivi si mwenye form form ana akili but mwenye division one na A zote ndio mwenye uwezo.
 
Hapata Mimi siamini kama watu million 60 wanashindwa kuendesha Bandari labda uwezo wa Hawa viongozi mdogo
Hakune mwenye elimu ya kusimamia bandari nchii elimu mlizonazo hata kuuza maandazi mbashindwa hitakuwa bandari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…