Kila kitu huvutia kinapokuwa katika asili yake

Adumu katika Maombi Mwenyezi Mungu azidi kumsimamia roho mtakatifu azidi kumuongoza hakuna kinachoshindikana katika mikono yake kama aliweza kumbadili SAULI na kuwa PAUL hope Mungu azidi kumkumbatia katika mbawa zake
 
Nakupinga.
Angepokelewa bado shoga ungeweza kusema hivyo.
Kaokoka kabadili hadi mavazi na kuongea.

Una maana mchawi akiokoka akasema kaacha uchawi inakua ni ku promote uchawi.
Hujapendezwa wewe kuwa kuna shoga kaacha ushoga period!
 
Dah hapo juu huyo shoga mwenyewe ni yupi kati ya hao wawili?
 
Adumu katika Maombi Mwenyezi Mungu azidi kumsimamia roho mtakatifu azidi kumuongoza hakuna kinachoshindikana katika mikono yake kama aliweza kumbadili SAULI na kuwa PAUL hope Mungu azidi kumkumbatia katika mbawa zake
Amen.
 
Hakuna linaloshindikana chini ya jua . Wapo mashoga kadhaa nawafahamu wameoa na wana watoto wengine huendelea na wengine huacha inategemea na watu unaofatana nao.
Hii uzi imejaa mashoga wengi na wana ishu za kisaikolojia nilijua kabisa comments za kukatisha tamaa zitakua nyingi kuliko za kutia moyo.Inawaumiza wakiona wenzao wanafanikiwa kutoka.
 
Wenye imani na nguvu ya kumuombea wafanye hivyo, hakuna kitu kigumu kama kuishinda tamaa ya mwili, angalia tu sisi wala mbususu.. ngumu sana ku-abstain!
mshamba_hachekwi kafurahishwa kweli na hii comment yako kakugongea hadi 😂

Anywqyz kwa sasa tamaa ya mwili zikimjia si atatafuna mbususu!?

Umejiuaje kuwa ni ngumu kutoka?

Uanamme wa mtu uko kichwani hivyo kama yuko sawa kiakili genye zikija atawaza K na sio b
 
Hivi hatuwezi kutafuta matibabu yake kama taifa? Ili mtu akiacha asirudi tea huko
Inawezekana.
Ni kundi la magonjwa ya akili.
Nguvu ikiwekezwa inawezekana kabisa.
Ushoga hauishi kwa kuwatukana,kuwaua ,kuwapiga au kuwatukana.

Mfano mzuri,jaribu kuwatukana mashoga wa JF ukitegemea wataacha.Utachoka wewe.Hata ukeshe unawatukana hawataacha.
Why kichaa akila mavi ukamtukana hataacha kula mavi sbb hajui yeye ni kichaa na anachofanya sio sawa bali kuna namna nyingine sahihi za kumsaidiq akaacha.
 
Mh Taifa lina mengi ya kufanya bwana sio kutafuta matibabu ya mashoga.
Sio lazima serikali mwakani kuna NGO inakuja kuondoa huu upepo mbaya unaoendelea ktk jamii yetu.Lazima tufanye kitu la sivyo 5 yrs to come kila nyumba itakua na mnuka mavi hapa tz.Something must be done!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…