Kila kitu huvutia kinapokuwa katika asili yake

Acha nilog out nikapate ftesh air kidogo.
Uzi umejaa harufu ya uharo na vidonda sugu
 
Aggrey ni mtu aliyekuwa na stress sana ,nilitarajia hili.Si mara moja si mara mbili namuona katika hali ile ya stress ila sikutaka kumshauri chochote maana ni fungu ambalo alikuwa amelichagua mwenyewe.
 
Mungu ampe kushinda majaribu
 
Aggrey ni mtu aliyekuwa na stress sana ,nilitarajia hili.Si mara moja si mara mbili namuona katika hali ile ya stress ila sikutaka kumshauri chochote maana ni fungu ambalo alikuwa amelichagua mwenyewe.
La stress ni kweli na bado hayuko sawa kabisa.Itamchukua muda kukaa sawa kabisa
 
Kulikuwa na mashoga zaidi yake na wakaacha ushoga na maisha yakasonga kama kawaida,walioa na kupata watoto kabisa. Mfano aunt Asu.
 
Mungu ni mwema, namuombea pia asirudi kule utumwani.

Ni mwanaume safi kabisa, ajitahidi azibe masikio asisikie ya wale alioanguka nao dhambini, ya wale wanaoamini lazima atarudi dhambini tena. Amuombe Mungu amuwekee malaika wake walinzi wamlinde na adui na watesi wanaotaka kumrudisha kundini kwa ahadi chungu nzima.

Kila la kheri kwake.
 
Kina mama tufunge na kuombea uzao wa matumbo yetu.
Shetani amesimama sana kuharibu jinsia tukufu ya mfano wa Mungu.

Angalia likes zilizoko kwenye uzi mzuri wa kufurahusha kuwa kondoo aliyepotea karudu kundini na likes zilizoko kwenye hiyo comment ya kukatisha tana🤔🤔

Angalia the way wanaume wenye heshima humu wanavyosema bila aibu kuwa haiwezekani kuacha.

WAMEJUAJE
Tujilize kwa Mungu shetani ameinuka na hana utani
 
Wanampokeaje bila kuwaambia chanzo ili wengine wafahamu wapate kulinda watoto wao?
 
HAKUNA CHA SHETANI WALA KUMLILIA MUNGU,,,
WATOTO WAPEWE ELIMU YA KUJITAMBUA WAO WENYEWE, WATU WANAOWAZUNGUKA NA MAZINGIRA TULIOYOPO,,,, HATA HUKO MAKANISANI KUNA MASHOGA NA WASAGAJI PIA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…