Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Withdraw hiyo 20M utie mfukoni au agiza hata bajaj tatu India kwa hizo 20M.View attachment 1116202
Mwezi wa 3 tu kitu kilikuwa milion 8 leo kinacheza kwenye m20
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Withdraw hiyo 20M utie mfukoni au agiza hata bajaj tatu India kwa hizo 20M.View attachment 1116202
Mwezi wa 3 tu kitu kilikuwa milion 8 leo kinacheza kwenye m20
Unauawauzia wenye mahitaji nayo.....ni pesa lakini haina sarafu au noti nibsawa tu na ukiweka hela yako ya kawaida kwenye simu utaweza kununua umeme,vocha,kulipia bidhaa ndivyo ilivyo kwa bitcoinUnamuuzia nani ?
Na kama Bitcoin ni pesa, kwanini inunuliwe na kuuzwa tena kwa pesa ya kawaida ?
Withdraw hiyo 20M utie mfukoni au agiza hata bajaj tatu India kwa hizo 20M.
Check update ya post
Sasa kwanini usikae nayo tu kwakuwa ni pesa, unalazimisha kumuuzia tena mtu hizo 'pesa' zako ?Unauawauzia wenye mahitaji nayo.....ni pesa lakini haina sarafu au noti nibsawa tu na ukiweka hela yako ya kawaida kwenye simu utaweza kununua umeme,vocha,kulipia bidhaa ndivyo ilivyo kwa bitcoin
Kwanini yenyewe huwezi itoa sababu ukitaka kuitoa hakuna noti wala sarafu zake hivyo huwezi itoa kama ilivyo itakulazimu uibadilishe iende katika pesa zenye noti au sarafu ili uweze itumia katika cash.
Tia mfukoni au agiza weweWithdraw hiyo 20M utie mfukoni au agiza hata bajaj tatu India kwa hizo 20M.
Kuna watu ni zero brain alafu hawataki kujifunza wanajidai wanajua kila kituDuuuh kwahiyo kumbe watu wahaijui hiii kitu kiasi hiki hadi kuamini huwezi itoa.Cheki hii picha labda itabadili mawazo yakoView attachment 1117091View attachment 1117092View attachment 1117093
Nenda duka lolote lililo karibu nawe... Muambie nahitaji bitcoin... Atakupa...Una nunuaje mkuu..
ha ha haNenda duka lolote lililo karibu nawe... Muambie nahitaji bitcoin... Atakupa...
Ila usichukue zilizoiva saana.. Huwa hazikawii kuharibika.
Check update ya post
Check update ya post
Mkuu bitcoin sio nzuri kununua wakati ipo katika kilele mara nyingi ukiona thamani yake imefika kati ya 14 milion na kuendele kwa moja usinunue.Hivi wakati mzuri wa kununua ni upi na wakati mzuri wa kuuza ni upi mkuu?
SHIDA NI KUA WAKATI WA KUNUNUA ANAYEKUUZIA ANAKUPIGA BEI NDEFU NA UKITAKA KUUZA UNAKUTA WATEJA WOTE WANATAKA UWAUZIE KWA BEI NDOGO, DOUBLE LOSS.tatizo la bitcoin ni kuwithdrawal ni shida sana
SHIDA NI KUA WAKATI WA KUNUNUA ANAYEKUUZIA ANAKUPIGA BEI NDEFU NA UKITAKA KUUZA UNAKUTA WATEJA WOTE WANATAKA UWAUZIE KWA BEI NDOGO, DOUBLE LOSS.