Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

Unamuuzia nani ?

Na kama Bitcoin ni pesa, kwanini inunuliwe na kuuzwa tena kwa pesa ya kawaida ?
Unauawauzia wenye mahitaji nayo.....ni pesa lakini haina sarafu au noti nibsawa tu na ukiweka hela yako ya kawaida kwenye simu utaweza kununua umeme,vocha,kulipia bidhaa ndivyo ilivyo kwa bitcoin

Kwanini yenyewe huwezi itoa sababu ukitaka kuitoa hakuna noti wala sarafu zake hivyo huwezi itoa kama ilivyo itakulazimu uibadilishe iende katika pesa zenye noti au sarafu ili uweze itumia katika cash.
 
Duuuh kwahiyo kumbe watu wahaijui hiii kitu kiasi hiki hadi kuamini huwezi itoa.Cheki hii picha labda itabadili mawazo yako
Withdraw hiyo 20M utie mfukoni au agiza hata bajaj tatu India kwa hizo 20M.
iMarkup_20190604_022013.jpeg
iMarkup_20190604_022140.jpeg
iMarkup_20190604_022247.jpeg
 
Unauawauzia wenye mahitaji nayo.....ni pesa lakini haina sarafu au noti nibsawa tu na ukiweka hela yako ya kawaida kwenye simu utaweza kununua umeme,vocha,kulipia bidhaa ndivyo ilivyo kwa bitcoin
Kwanini yenyewe huwezi itoa sababu ukitaka kuitoa hakuna noti wala sarafu zake hivyo huwezi itoa kama ilivyo itakulazimu uibadilishe iende katika pesa zenye noti au sarafu ili uweze itumia katika cash.
Sasa kwanini usikae nayo tu kwakuwa ni pesa, unalazimisha kumuuzia tena mtu hizo 'pesa' zako ?

Huoni mnatumia nguvu kubwa sana kutengeneza soko ( wanunuzi ) wa hiyo digital currency ili mtengeneze uhitaji wake watu wengi watake kuinunua ipande thamani ( demand & supply ) na siyo kwamba eti kuna kitu nyuma yake kinachotokana na uzalishaji wa thamani ( bidhaa/huduma ) za kuipandisha thamani ?

- Yaani it's just like wanavyotafuta rupia n?
 
Hivi wakati mzuri wa kununua ni upi na wakati mzuri wa kuuza ni upi mkuu?
Mkuu bitcoin sio nzuri kununua wakati ipo katika kilele mara nyingi ukiona thamani yake imefika kati ya 14 milion na kuendele kwa moja usinunue.

Hakunaga muda sahihi wa lini itapanda na lini itashuka kikubwa ni kufatilia.

Wallet nyingi za bitcoin duniani hutuma taarifa za hali ya bitcoin kila siku hivyo ni vizuri ukachagua wallet inayokupa updates ingia tu google tafuta itakayo kufaa.

Ila kwa uzoefu mwezi kati ya 9 hadi mwezi wa 4 hua inashuka sana na ndo watu wengi hununua.

Kipindi kama hiki ukinunua uapata hasara tu sababu tayari ipo juu sana subiri ishuke.
 
tatizo la bitcoin ni kuwithdrawal ni shida sana
SHIDA NI KUA WAKATI WA KUNUNUA ANAYEKUUZIA ANAKUPIGA BEI NDEFU NA UKITAKA KUUZA UNAKUTA WATEJA WOTE WANATAKA UWAUZIE KWA BEI NDOGO, DOUBLE LOSS.
 
Na ndo maana inakubidi uwe mvumilivu hasa katika muda usubili kipindi cha kilele kuuza na kipindi cha kushuka kununua.

Unajua tatizo linakuja sasa hivi watu wameona bitcoin ipo juu wengi watanunua wakiamini itaendelea kupanda.

Ni vizuri wakafatilia flactuation trend yake sababu sasa hivi inaiona ipo 20m per coin ila kuna kipindi hua inashuka hadi 5m per coin.

Mafano wale walio nunua mwakajana kati ya 5m hadi 9m kipindi hiki bei ndogo kabisa ni 17m hivyo wanapata faida

Kikubwa ni kuwa unataarifa yake vizuri.

Kipindi hiki si vha kuinunua bitcoin kwa wafanya biashara wa bitcoin kipindi hiki wanaoo nunua ni wale wanaoitumia bitcoin kwenye manunuzi yao.
SHIDA NI KUA WAKATI WA KUNUNUA ANAYEKUUZIA ANAKUPIGA BEI NDEFU NA UKITAKA KUUZA UNAKUTA WATEJA WOTE WANATAKA UWAUZIE KWA BEI NDOGO, DOUBLE LOSS.
 
Shida ya bitcoin withdraw yake ni kwamba lazima uuze sio ufanye kama unavyotoa pesa zingine
Kingine bitcoin ni kama sandakarawe kuweza kupata faida, maana unakaa nayo hujui ni kwa mda gani itapanda ikupe faida
Naweza sema waanzilishi wa bitcoin wao ndio wanapata faida
Ukiata kuniamini mimi kuwa hii kitu ni sandakarawe kwanini withdraw yake unatakiwa kuuza?

Ukikosa mteja wa kununua hiyo bitcoin inabakia kuwa yakwako mwenyewe tu unakuwa unaingalia katika wallet yako
sishauri kwa walala hoi kujiunga na hiii issue bora ukabet tu kuliko huku bitcoin

Siwakandii waleta mada ila bitcoin haipo katika kitu unachoweza kusema biasha ya kukusaidia kiuchumi ama biashara ya kuifanya
ni bora pesa yako ukainunulia Hisa risk ni ndogo kuliko bitcoin
 
Angalia attachement hizi ndo utajua kile nacho sema mwezi wa 10 mwaka jana ilikua inauzwa milioni 8 kwa bitcoin 1 na mwaka huu mwezi wa sita inauzwa 17 hadi 22 milion kwa bitcoin moja.

Hivyo kuna kipindi cha kuwekeza na kipindi cha kuuza.


Na fahamu thamani yake ni ya kupanda na kushuka ni ya dunia nzima kama ilivyo kwa dollar hivyo ikishuka haijalishi unatumia wallet gani itashuka na ikipanda haijalishi unatumia wallet gani itashuka.
iMarkup_20190607_124746.jpeg
iMarkup_20190607_124603.jpeg
 
Kwa ufupi bitcoin ni kama maandazi
mimi muuzaji nawaambia haya maandazi ukinunua unakuja kupata faida kubwa mbeleni

nawauzia andazi moja kwa tsh.200 baada ya mwezi unawaambia imepanda thamani kwa Tsh.500
Hapo wanakuwa na faida ya Tsh.300 kisha wanaanza kuuziana tena wao kwa wao ili wapate faida
Kuuza wanunuaji ni wale wanataka nawao faida wananunua kwa tsh.450 mwenye maandazi unafaida ya 150
bado ushuru bado aliyenunua nayeye baada ya mda inashuka thamani inakuwa tsh.150

basi ndio mzunguko unaendela hivyo hivyo

Bitcoin nikweli ila ni mfumo wa wababe kuchukua pesa za wanyonge na wenye tamaa ya pesa haraka
maana ingekuwa pesa halali isingekuwa inauzwa ungekuwa unawithdraw tu

nina blackcard nilipewa na rafiki yangu mmoja ilikuwa na kama euro 450 hivi
atm yoyote niliweza zinazosaport master card na visa niliweza kutoa hela kwa tsh bila shida
sasa kwanini bitcoin uuze wakati wa kutoa?
 
Back
Top Bottom