Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu PC games

hapana haiwezi, ila core 2 quad inaweza ambayo bei zake ni humo around 150,000 hadi 200,000, pia i5 2nd gen now zinapatikana 250,000 sio mbaya kuongeza kidogo, na i5 za 2nd gen motherboard zake nyingi zinakubali na 3rd gen cpu hivyo ni future proof.
poa nitatafua mashine yenye 2 quad q6660
 
hapana haiwezi, ila core 2 quad inaweza ambayo bei zake ni humo around 150,000 hadi 200,000, pia i5 2nd gen now zinapatikana 250,000 sio mbaya kuongeza kidogo, na i5 za 2nd gen motherboard zake nyingi zinakubali na 3rd gen cpu hivyo ni future proof.

lakina vipi kuhusu hii Benchmark
 
lakina vipi kuhusu hii Benchmark
View attachment 434099
kuna games/software za single thread na multithread.

gta v linahitaji atleast core/thread nne, hivyo hio 8400 ita struggle sababu ina core/thread 2.

pia q6600 unaweza kui overclock hadi 3ghz na kufikia perfomance ya e8400 kwenye single thread.

software za single thread kwenye stock hio e8400 itaperform vizuri zaidi
 
Kuna games zinachagua either 32 or 64 bit OS, Had the same problems ku-install NFS HP2, I had to change file nkadownload upya, Chamsingi udownload game linaloendana na mode ya OS ya pc yako.
 
Kuna games zinachagua either 32 or 64 bit OS, Had the same problems ku-install NFS HP2, I had to change file nkadownload upya, Chamsingi udownload game linaloendana na mode ya OS ya pc yako.
asante mkuu
 
Heshima yako Chief Mkwawa, naomba msaada wa kunielkeza ni wapi naweza pata gaming desktop(cpu only) kwa bei nzuri, kama ulivyotaja hapo
 
Heshima yako Chief Mkwawa, naomba msaada wa kunielkeza ni wapi naweza pata gaming desktop(cpu only) kwa bei nzuri, kama ulivyotaja hapo

bei nzuri kama ipi?

maduka ni mtaa wa uhuru na likoma anzia pale nyoosha na likoma kama unaenda aggrey kuendelea mbele mpaka kanisa la kkkt, kuna duka moja pale linaitwa awale kuna desktop za kutosha tu.

sema inakuwa ni cpu tu bila gpu, hivyo itabidi utafute mwenyewe gpu.

i5 zinaanzia 250,000 hadi 500,000 itategemea na aina ya cpu na generation, hakikisha ni kuanzia generation ya pili.
 
Zaidi ya Need for Speed Most wanted sijawahi penda game yeyote kwenye PC. Au ile ya the tomb of montenezuma
mkuu vp,kama una kink ya kudownload NEED FOR SPEED MOST WANTED naomba nisaidie
 
Hivi wakuu ili nicheze game la euro truck 2 natakiwa nipate walau pc yenye sifa zipi?
 
Inauzwaje hii feni ya njee mkuu?
 
Mkuu, natumia HP core i5 kwa specifications hizo hapo. Nimefuzu kweli kuweka na kucheza games kama fifa 18 kwenda mbele. Au washauri nini mkuu?

Core i5 - 3337U, CPU 1.80GHz, RAM - 4GB, 64 - bit
 
Mkuu, natumia HP core i5 kwa specifications hizo hapo. Nimefuzu kweli kuweka na kucheza games kama fifa 18 kwenda mbele. Au washauri nini mkuu?

Core i5 - 3337U, CPU 1.80GHz, RAM - 4GB, 64 - bitView attachment 1150254
Ngumu mkuu, Engine ya hizi FIFA za kisasa ni nzito Sana.

Ila unaweza ukaforce kibishi bishi kwa kupunguza resolution Hadi 800x480 linaweza kuchezeka kiasi.
 
Ngumu mkuu, Engine ya hizi FIFA za kisasa ni nzito Sana.

Ila unaweza ukaforce kibishi bishi kwa kupunguza resolution Hadi 800x480 linaweza kuchezeka kiasi.
Kuchezeka kiasi kwamba litakuwa linastuck mkuu au? ... nifanyeje mkuu ili angalau nami nipate raha ya kucheza game asee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…