Kila Mtanzania asali, huenda kukawa na mtikisiko

Hakuna lolote
 
Mchimba kaburi huingia mwenyewe.

You are trying to prove the proverb wrong, we are watching you.
 
Mungu afanyi kama ww unavyosema mkuu, kwani kuweka wazi ili watu wajue wanaombea nn ni kosa ? mbona mnafanya mambo ya Mungu kama michezo ya kubahatisha ? ili lolote baya likitokea basii ubebe bango ooooh tulisema watu waombe, sasa tunaombea nn mtumishi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukitokea tetemeko utakuwa umepatia, kukitokea njaa utakuwa umepatia, kiongozi akitutoka utakuwa umepatia, machafuko yakitokea utakuwa umepatia. Janga lolote lile utakuwa umepatia kwa sababu utabiri wako ni utabiri wa lolote kutokea.
 
Unapomuomba Mungu ni lazima kuhakikisha kuwa uko msafi kiroho mbele zake ndipo anapokea maombi yako. Kulitaja tu jina la Yes hadharani ili kuonekana Mtakatifu ni sinema tu. Tunaambiwa kuwa hata Shetani huwa analitaja jina la Yesu tena kwa kutetemeka. Tafakari
 

Haujaacha upuuzi? Kila baya utakalo nchi hii haliwi, kila unalotabiri haikiwi!!!

Una roho mbaya sana na umeandika hapa kwa baya lolote na hauwezi kusema specific

Mchawi
 
Mkuu karibu kila uzi wako ni tusali, wewe hufai kuongoza kikosi kwenda kwenye uwanja wa vita utawakatisha askari morali na kuwatiwa uwoga..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnakumbuka uzi wake alioutuma kipindi kile mkulu alipozushiwa kama ka..?
Basi mjue nyuzi nyengine ni chambo ili kuvutia samaki na hasa waliochoka choka!
 
Usijizibe MACHO na MASIKIO kwa vidole,

La MIPAKA lilisemwa , UKABISHA KWA KEJELI,

MIPAKA HAIJAFUNGWA?
 

Unapiga sana ramli! Siku hizi tumekuzoea na habari zako za uwongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…