Ya Ben saa nane hakutabiri..huyu alisema kweli na akamuonya..anajua kila kitu... ...Ulitabiri ya Ben Saanane, yakawa kweli, je hili nalo litakuwa kweli?
Kila mtu asali, sali kuliombea hili Taifa. Ni kama mchezo wa masihara vile ila utaunguza Nyumba.
Ni moto mkali sana utakaobadilisha dira na mwelekeo wa taifa hili. Tulishatabiri ila sasa itakuwa kweli.
Pray for the nation pray for your family. We as Tanzanian God will remember us.
Update
Mabadiliko ktk katiba
Lissu kuongea , watanzania jambo limetikisa siasa zetu hasa ikizingatiwa anautaka Urais
Mbowe kujeruiwa dodoma
Next
Yasio julikana kujulikana...
Pray for the nation
Amen
More people copy this like never before na kubadilisha kichwa cha habariKila mtu asali, sali kuliombea hili Taifa. Ni kama mchezo wa masihara vile ila utaunguza Nyumba.
Ni moto mkali sana utakaobadilisha dira na mwelekeo wa taifa hili. Tulishatabiri ila sasa itakuwa kweli.
Pray for the nation pray for your family. We as Tanzanian God will remember us.
Update
Mabadiliko ktk katiba
Lissu kuongea , watanzania jambo limetikisa siasa zetu hasa ikizingatiwa anautaka Urais
Mbowe kujeruiwa dodoma
Next
Yasio julikana kujulikana...
Pray for the nation
Amen
Usidanganyike na mambo ya mihemuko mtandaoni Mkuu
Nchi ipo shwari
Hao Chadema wakishashiba lazima waingie mtandaoni kupiga umbeya
Ulitabiri ya Ben Saanane, yakawa kweli, je hili nalo litakuwa kweli?
Ukifa ndo utaelewa kama upo salama
Kama unatenda mema kwann uogope kifo,Huyu bwana alipotea mazima.
Bia yetu, ungalipo?
Maana wengine kwa kutumia huu uzi:
Buriani
tulisha aga na hata tukipotea itakuwa ndiyo hivyo tena.
Kama unatenda mema kwann uogope kifo,
Japo watu waovu uchelewa kufa.
Wauaji uogopa kifo japo upenda kuuwaWapi na nani naogopa kufa?
Ila tumeambiwa corona iko mbali hukooo.Naona Corona imeanza kupiga kingo za ikulu!!
Wauaji uogopa kifo japo upenda kuuwa
Sote ni wapangaji Hakuna mwenye hati ya kuishi milele,Kama unatoa roho za wenzio nawe itatolewa,kifo pekee ndo uunganisha mtawala na mtawaliwa, tajiri na masikini.Statement yako ni kweli lakini essence yake wapi?
View attachment 1516135
Itapendeza ukidadavua mkuu.
Duuh serious aliwahi tabiri kuhusu Ben Saanane??????Hata hili limekuwa kweli.