Kila mtu amezaliwa akiwa muislamu, ubatizo ndio unaomfanya mtu kuwa mkristu

Quran 2:34 - "Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri."
kwaiyo kumbe malaika wanaweza kumsujudia adamu (na sio Mungu??) .....ibilisi alikataa alikuwa sahihi wa kusijudiwa ni Mungu pekeyake"
 
😂😂😂Kwamba nikweli sababu dhambi yenyewe ni uislamu
 
YAANU WEWE UNYWE MAPOMBE NA MASIGARA ALAFU UTEGEMEE UWE PEPO MOJA NA MIMI...
TUBU

Kwan dhambi ni moja tu.

Ulevi wala hauko kwenye amri 10 za Mungu.
Ila matendo unayofanya baada ya Ulevi ndio yako.

Unaweza usinywe na ukawa na Mambo ya Hovyo zaid ya anayekunywa.

Wacha Wanyaji wafurahie maisha yao. Tunywe kistaarabu
 
Kwan dhambi ni moja tu.

Ulevi wala hauko kwenye amri 10 za Mungu.
Ila matendo unayofanya baada ya Ulevi ndio yako.

Unaweza usinywe na ukawa na Mambo ya Hovyo zaid ya anayekunywa.

Wacha Wanyaji wafurahie maisha yao. Tunywe kistaarabu
Wewe castle nishasema umeshindikana bora niendelee kuwaokoa wengine wewe endelea ila usitegemee kuwa pepo moja na mimi
 
Ni kweli Watu wote walizaliwa waislam ila baadhi yao baada ya kupata matatizo ya akili wakakufuru
 

Nyinyi ndiyo wale mnasema rangi za upinde ni rangi za mashoga ...wakati ni rangi zilizo kuwako kabla ya ushoga sema wao wakezitumia tu kamakatika alama yao ...katika ukristo ubatizo wa maji ni kama SHAHADA KWA WAISLAMU..Shahada ni kumkubali allah na mtume wake muhammad na mafundisho ya Msahafu ....ubatizo wa maji kwa wakristo ni kumkubali Mungu na Yesu na injili yake ...
Ila katika ukristo kuna ubatizo wa aina mbili ...huo wa maji siyo wa muhimu sana bali upo ubatizo wa Roho mtakatifu na wa moto
1)ubatizo wa Roho Mtakatifu ..ni kujazwa Roho wa Mungu ndani yako ...
2)ubatizo wa moto ni kutupwa jehanamu kwa watu waovu...
Maana yake Yesu ndiye atakaye wahukumu watu siku ya kiama, wema watajazwa roho mtakatifu na waovu wata tupwa motoni

YAANI
1)WEMA WATABATIZWA KWA ROHO MTAKATIFU na
2)WAOVU WATABATIZWA KWA MOTO WA JEHANAM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…